Sitta kuwashughulikia wanaopinga Muungano
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu, Samuel Sitta, amesisitiza msimamo wake wa kuwashughulikia wajumbe wa Bunge hilo wenye nia ya kuvunja Muungano uliodumu kwa miaka 50 sasa. Awali kabla ya kusisitiza msimamo wake, Mjumbe wa Bunge hilo, Mchungaji Christopher Mtikila, alidai kuwa kauli hiyo ilimlenga yeye kumtisha kutokana na msimamo wake wa kupinga Muungano.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Jun
Sitta: Nitadumisha Muungano
Na Joseph Manyonyi, Bunda
WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, amesema ataendelea kudumisha na kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ikiwa atapewa ridhaa ya kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sitta alisema hayo juzi, wakati akiwashukuru wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bunda waliofika kumdhamini ili ateuliwe kuwa mgombea urais, shughuli iliyofanyika katika kiwanja cha Ofisi ya CCM Wilaya ya Bunda, mkoani Mara.
Mgombea huyo alisema ataulinda Muungano wa...
11 years ago
Habarileo17 Jan
Wanaopinga CWT kukutana karibuni
KAMATI ya Kitaifa ya wanachama wa chama cha walimu ya kudai mabadiliko ndani ya chama cha walimu Tanzania (CWT), imesema inatarajia kukutana na wanachama, kutoa tamko kutokana na madai yao kutosikilizwa. Mwaka jana Kamati hiyo ilipanga kufanya maandamano, yaliyodaiwa kuwa na tamko zito kuhusu mwenendo uliopo kwa viongozi wa CWT, ambayo baadaye yaliahirishwa.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
LAAC kuwashughulikia watendaji Longido
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) inakusudia kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria baadhi ya watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido mkoani Arusha kutokana na kinachoelezwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Bendera kuwashughulikia watumishi wezembe
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amewaagiza wakurugenzi wa wilaya mkoani hapa kupeleka haraka taarifa za watumishi wazembe na wasio waadilifu ofisini kwake, ili awachukulie hatua za kisheria. Bendera...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Wanaopinga rasimu ya Katiba wanamkana JK
RAIS Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005 alisema wazi kwamba jambo moja kubwa lililokuwa likisumbua kichwa chake ni kero zilizokuwa zikijitokeza kwenye Muungano wa Tanzania. Aliweka wazi kuwa kwa vile...
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
WANAOPINGA RASIMU YA KATIBA: Wajinga na mbumbumbu
HAKUNA shaka kwamba wajumbe walio wengi wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK) wanaipinga rasimu iliyowasilishwa mezani na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba. Sababu kubwa...
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Ni watu 10 pekee wanaopinga muhula wa 3 wa Kagame
10 years ago
BBCSwahili23 May
Wanaopinga ndoa za jinsia moja wasalimu
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Blatter: Wanaopinga Qatar wabaguzi wa rangi