Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blatter: Wanaopinga Qatar wabaguzi wa rangi

Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa), Sepp Blatter amesema madai ya rushwa katika kuipa Qatar uenyeji wa fainali za Kombe la Dunia za 2022 yamechochewa na hisia za ubaguzi wa rangi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Sepp: wabaguzi wa rangi wapinga Qatar

Rais wa shirikisho la kandanda duniani, Sepp Blatteer, amesema ubaguzi wa rangi unachangia lawama inayotolewa dhidi ya Qatar.

 

11 years ago

BBC

Qatar claims are racist - Blatter

Fifa president Sepp Blatter says allegations of corruption surrounding Qatar's 2022 World Cup bid are motivated by racism.

 

11 years ago

Dewji Blog

Blatter: Ni “kosa” Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni – FIFA Sepp Blatter amesema ilikuwa kosa kuichagua Qatar kuandaa dimba la Kombe la Dunia mwaka wa 2022 kwa sababu ya hali ya joto kali nchini humo

Blatter amekiambia kituo kimoja cha televisheni nchini Uswisi kuwa, na namnukuu “unajua, kila mmoja hufanya makosa maishani”.

Kiwango cha wastani cha joto ni nyuzijoto 40 katika miezi ya Juni na Julai, kipindi ambacho tamasha la kombe la dunia hupangwa kufanyika.

Blatter amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.

PG4A5517

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw.  Otty Msuku  ambaye ni Mtanzania ,  Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar  wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5521

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...

 

10 years ago

BBCSwahili

Qatar 2022: Qatar yapinga madai ya Amnesty

Qatar imepinga madai ya Amnesty International kuwa inawadhulumu wafanyikazi wanaojenga viwanja

 

5 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi

Watu weusi nchin Urusi wameiambia BBC jinsi ubaguzi wa rangi ulivyoyaathiri maisha yao

 

9 years ago

Dewji Blog

Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu

Untitled

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.

Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.

Licha ya kuwafungia miaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wabaguzi wa Chelsea wapigwa marufuku

Mashabiki wanne wa kilabu ya Chelsea walioshtumiwa kwa kukataa kumrusu mtu mmoja mweusi kuingia katika treni ya Paris Metro wamepigwa marufuku kuhudhuria mechi mechi za soka kwa takriban miaka mitano.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Viongozi CCM wafitini, wabaguzi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekemea dhambi ya fitina na ubaguzi ndani ya chama hicho. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika ziara yake wilayani Mafia, Kinana alisema fitina, ubaguzi miongoni mwa viongozi, zimekuwa chanzo cha kuwavuruga watu badala ya kuwatafutia maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani