Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaopinga CWT kukutana karibuni

KAMATI ya Kitaifa ya wanachama wa chama cha walimu ya kudai mabadiliko ndani ya chama cha walimu Tanzania (CWT), imesema inatarajia kukutana na wanachama, kutoa tamko kutokana na madai yao kutosikilizwa. Mwaka jana Kamati hiyo ilipanga kufanya maandamano, yaliyodaiwa kuwa na tamko zito kuhusu mwenendo uliopo kwa viongozi wa CWT, ambayo baadaye yaliahirishwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DR SLAA AKIRI KUKUTANA NA MWAKYEMBE SIKU MOJA KABLA YA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI, AMWAMBIA LISSU AONYESHE VOCHA YA YEYE KUCHUKUA MSHAHARA CHADEMA

NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia mgombea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaopinga rasimu ya Katiba wanamkana JK

RAIS Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005  alisema wazi kwamba jambo moja kubwa lililokuwa likisumbua kichwa chake ni kero zilizokuwa zikijitokeza kwenye Muungano wa Tanzania. Aliweka wazi kuwa kwa vile...

 

11 years ago

Habarileo

Sitta kuwashughulikia wanaopinga Muungano

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu, Samuel Sitta, amesisitiza msimamo wake wa kuwashughulikia wajumbe wa Bunge hilo wenye nia ya kuvunja Muungano uliodumu kwa miaka 50 sasa. Awali kabla ya kusisitiza msimamo wake, Mjumbe wa Bunge hilo, Mchungaji Christopher Mtikila, alidai kuwa kauli hiyo ilimlenga yeye kumtisha kutokana na msimamo wake wa kupinga Muungano.

 

10 years ago

Habarileo

‘Acheni kurubuniwa na wanaopinga Katiba Pendekezwa’

WANANCHI wa Zanzibar wametakiwa kutokubali kurubuniwa na watu wanaojidai kutetea maslahi ya Zanzibar kwa kupinga Katiba Inayopendekezwa na kubainisha kuwa lengo la watu hao ni kurudisha nyuma maendeleo ya Zanzibar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni watu 10 pekee wanaopinga muhula wa 3 wa Kagame

Maafisa nchini Rwanda wanasema kwamba baada ya mashauriano ya kitaifa ni watu kumi tu wanaompinga rais Kagame kuwania muhula wa tatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

WANAOPINGA RASIMU YA KATIBA: Wajinga na mbumbumbu

HAKUNA shaka kwamba wajumbe walio wengi wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK) wanaipinga rasimu iliyowasilishwa mezani na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba. Sababu kubwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Blatter: Wanaopinga Qatar wabaguzi wa rangi

Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa), Sepp Blatter amesema madai ya rushwa katika kuipa Qatar uenyeji wa fainali za Kombe la Dunia za 2022 yamechochewa na hisia za ubaguzi wa rangi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaopinga ndoa za jinsia moja wasalimu

Kiongozi anayeongoza kampeni za kupinga ndoa za jinsia moja nchini Ireland amekubali kushindwa,huku kura zikiendelea kuhesabiwa

 

9 years ago

Habarileo

Wanaopinga ubunge Tabora Mjini kulipia milioni 9/-

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora imewataka wananchi wanne waliofungua kesi ya kupinga matokea ya uchaguzi ya ubunge katika Jimbo la Tabora Mjini, kulipia Sh milioni tisa kama dhamana ndipo shauri hilo lisikilizwe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani