Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitti Mtemvu: Nalivua taji nililopewa na binadamu lakini alilonipa Mwenyezi Mungu bado analo

Sitti Mtemvu amesema amejivua taji la Miss Tanzania 2014 alilopewa na binadamu lakini anaamini lile alilopewa na Mwenyezi Mungu bado analo. Sitti amelivua taji hilo baada ya kuiandikia barua kamati ya Miss Tanzania, November 5 mwaka huu, kuhusiana na uamuzi wake huo. Mrembo huyo alikuwa akikabiliwa na shutuma za kudanganya umri wake, jambo ambalo lilililazimu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

MREMBO Sitti Mtemvu aliyekuwa Miss Temeke 2014, Oktoba 11, 2014 aliibuka kidedea katika fainali za shindano la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia taji hilo sambamba na shilingi milioni 18. Katika shindano hilo lililofanyika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nafasi ya pili ilikwenda kwa Lilian Kamazima ambaye alijishindia shilingi milioni 6 huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Jihan Dimachk. Dorice Mollel alishika nafasi ya nne...

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk. Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amejivua taji hilo leo, mshindi wa pili, Lillian Kamazima amrithi, Lundenga athibitisha. Habari kamili kuwajia…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu avua taji Redd’s Miss Tanzania

REDD’S Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ameamua kuvua taji la Redds Miss Tanzania alilovikwa usiku wa Oktoba 11 mwaka huu katika Ukumbi wa Mliamani City, jijini Dar es Salaam. Katika...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Washiriki 30 wa kinyanganyiro cha kumsaka Miss Tanzania wakijitambulisha kwa shoo. Warembo wakipita na vazi la ufukweni. Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto), akiwa na katibu wa kamati hiyo, Bosco Majaliwa.…

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk baada ya kutangazwa mshindi. MREMBO Sitti Mtemvu kutoka Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia kitita cha milioni 18 usiku huu katika…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014

MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, aamua kujivua taji mwenyewe

BREAKING NEWS!Habari tulizozipata hivi punde kupitia uso wa kitabu wa Miss tanzania 2014, Sitti Mtemvu, ni kwamba ameamua kujivua taji hilo ili aendelee na maisha yake kwa amani. Hivi nivyo alovyoandika "HABARI ZA JIONI WATANZANIA WENZANGU, KUTOKANA NA KUWA NIMEKUWA NIKISEMWA SANA, MANENO MENGI YASIO NA TIJA JUU YA HILI TAJI LA UMISS TANZANIA 2014,,,MPAKA KUPELEKEA NISIWE NA AMANI NA UHURU NDANI YA NCHI YANGU TANZANIA, KWA ROHO SAFI NIMEAMUA MWENYEWE KUJIVUA TAJI HILO NA KUACHA WANAYE ONA...

 

10 years ago

Bongo5

Sitti Mtemvu alidanganya umri, vielelezo vinamsuta, uwezekano wa kuvuliwa taji ni 100%

Vielelezo zaidi ya vitatu vinaonesha kuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu alidanganya umri wake wa kuzaliwa. Vielelezo hivyo vinaonesha kuwa mrembo huyo ana umri wa miaka 25, na sio 23 kama cheti chake ambacho kinaaminika kughushiwa kisemavyo. Passport yake, leseni ya udereva na taarifa za website rasmi ya ‘Idara ya Usalama wa ndani ya Marekani […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Lillian Kamanzima aahidi makubwa baada ya kuchukua taji la Sitti Mtemvu

Aliyekuwa mshindi wa pili kwenye shindano la Miss Tanzania 2014, Lillian Kamazima amekabidhiwa taji la Miss Tanzania 2014 na kamati ya Miss Tanzania baada ya Sitti Mtevu kujivua. Miss Tanzania Lillian Kamazima akizungumza na waandishi wa habari Akizungumza na waandishi wa habari leo katika mkutano uliyofanyikia kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani