Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


S.Kusini: Mazungumzo yakwamuliwa klabuni

Wajumbe wameachwa vinywa wazi baada ya kupewa klabu ya disco kufanyia mazungumzo kutokana na ukosefu wa vyumba, Sheraton, Ethiopia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini wakubali mazungumzo

Waasi nchini Sudan Kusini wamekubali kuingia katika mazungumzo ya amani baada ya kuuteka tena mji wa Bor

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya Sudan Kusini yakwama

Matumaini ya kupatikana kwa amani Sudan Kusini yameingia mashakani baada ya mazungumzo ya uso kwa uso ya pande zinazopingana yaliyokuwa yakitarajiwa kufanyika nchini Ethiopia kuchelewa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini:Mazungumzo ya amani yaanza

Mazungumzo mapya yanayolenga kumaliza mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe wa miezi 19 Sudan Kusini yameanza katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo Sudan Kusini yagonga mwamba

Mazungumzo ya kutatua mzozo unaokumba Sudan Kusini yamegonga mwamba, saa kadhaa kabla ya UN kuwawekea makataa wanaohusika.

 

10 years ago

Habarileo

Mazungumzo ya amani Sudan Kusini yamalizika

Salva KiirMAZUNGUMZO ya vikundi vinavyopingana ndani ya chama cha SPLM cha Sudan Kusini, chini ya usuluhishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yamemaliza awamu ya pili ya mazungumzo hayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yaanza

Harakati za kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa Sudan Kusini zimeanza mjini Arusha.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania afanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro

Na. Andrew Chimesela
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe amesema Pamoja na kuwa Mkoa wa Morogoro una maeneo makubwa ya ardhi bado maeneo hayo hayajatumika ipasavyo na kushiwishi wawekezaji kuja kuwekeza Mkoani humo katika Sekta ya kilimo, Viwanda na Utalii. Dkt. Rutengwe ameyasema hayo hivi karibuni wakati wa mazungumzo baina yake na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Mhe T. D. Mseleku alipomtembelea Ofsini kwake.
Aidha, alimueleza Balozi Mseleku kuwa eneo ambalo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius ajikuta pabaya klabuni

Mwanariadha Oscar Pistorius, amedaiwa kuhusika katika malumbano ndani ya klabu moja nyakati za usiku nchini Afrika Kusini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani