SKYLIGHT BAND IMEBADILI SURA YA MUZIKI WA LAIVU
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_00091.jpg)
Wamiliki wa Skylight Band Dk. Sebastian Ndege na Justine Ndege wakiwa kwenye moja ya show za vijana wao Skylight Band ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki jijini Dar. Sehemu ya wanamuziki wa Skylight Band wakitumbuiza mashabiki wao wakiongozwa na Meneja wa Bendi hiyo kutoka kulia ni Aneth Kushaba AK47, Digna Mbepera, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo na Hashim… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Oct
Skylight Band imebadili sura ya muziki wa laivu
Wamiliki wa Skylight Band Dk. Sebastian Ndege na Justine Ndege wakiwa kwenye moja ya show za vijana wao Skylight Band ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki jijini Dar.
Na MOBlog Team
KAMA ni mpenzi wa muziki hutasita kukubaliana nami kwamba tangu Skylight Band iingie katika ulimwengu wa muziki wa laivu nchini hapa, kuna mambo mengi yamebadilika hasa namna ya kutoa burudani hiyo miongoni mwa bendi ambazo zilikuwapo au tuseme zipo hadi sasa.
Bendi hii ambayo ilianza 2011 imekuwa...
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
Skylight Band yaendelea kubamba na muziki wa laivu jijini Dar, tukutane Thai Village jioni ya leo
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Joniko Flower, Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47, Sam Mapenzi na Sony Masamba kwa pamoja wakiwapa raha mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani) kwenye kiota cha maraha cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita ambapo leo wataendelea kutoa kuwaburudisha mashabiki wake kama kawaida kuanzia saa tatu usiku.
Wanaume wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Digna Mbepera wakionyesha...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_0225.jpg)
SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA MASHABIKI WAKE WA MUZIKI WA LIVE, TUKUTANE BAADAE THAI VILLAGE
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/92.jpg)
UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI NI SKYLIGHT BAND PEKEE LEO NDANI YA THAI VILLAGE
10 years ago
Dewji Blog07 Nov
Skylight Band yazidi kuwateka mashabiki wake wa muziki wa live, tukutane baadae Thai Village
Majembe ya Skylight Band yakitoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar..Kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo, Digna Mbepera na Sam Mapenzi.
Sehemu ya umati wa mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na sebene la Nasaka Dough ndani ya kiota cha Thai Village Masaki Ijumaa iliyopita.
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na rapa...
10 years ago
Vijimambo07 Nov
SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA MASHABIKI WAKE WA MUZIKI WA LIVE, TUKUTANE BAADAE THAI VILLAGE
![DSC_0225](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_0225.jpg)
![DSC_0179](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_0179.jpg)
![DSC_0242](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_0242.jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Skylight Band yazidi kupasua anga na muziki wa Live, njoo ushuhudie leo Thai Village
Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na waimbaji wenzake wa bendi ya Skylight ambao ni Ashura Kitenge(kushoto) na kulia ni John Music kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba na kucheza moja ya Sebene la Kikongo pamoja Sony Masamba.
Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na waimbaji wenzake kulia ni Sam Mapenzi na kushoto ni Joniko Flower
Waimbaji wa Skylight Band...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_03261.jpg)
SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR NYAMA CHOMA FESTIVAL
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/10173726_10152036323227864_1413106576404088176_n.jpg)
MPIGA GITAA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AFARIKI GHAFLA