SKYLIGHT BAND KUTOA BURUDANI ADIMU KWA MASHABIKI WAKE NDANI YA ESCAPE ONE SIKUKUU YA X-MASS NA BOXING DAY
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_1309.jpg?width=640)
Kutoka kushoto ni Kipaji kipya ndani ya Skylight Band anafahamika kama DONODE, DIGNA MBEPERA, SAM MAPENZI na ANETH KUSHABA AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani ambapo X-MASS pamoja na BOXING DAY watakinukisha kwenye kiota cha Escape One kwenye upepo mwanana wa bahari.....Njoo ufurahie mapumziko yako na Band nambari moja mujini wengine wanafuata.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Skylight Band ilivyowabamba mashabiki wake ‘Valentines’s day’ ndani ya Thai Village
Mwanadada mrembo akipozi kwenye eneo maalum kukaribisha mashabiki wa Skylight Band kwa shots za Zappa na Tequila pamoja na ua aina ya Rose maalum kuonyesha upendo kwa wapenzi wao katika usiku maalum wa wapendanao uliofanyika jumamosi iliyopita ndani ya kiota cha maraha cha Thai Village….Skylight Band itaendelea kusambaza upendo Ijumaa ya leo, baada kurejea nyumbani salama wakitokea nchini Oman….Muda ule ule… uchakavu ule ule… mahali ni pale pale….Karibuni.
Mkali wa R & B Skylight Band,...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_1317.jpg)
SKYLIGHT BAND YAFANYA KWELI NDANI YA ESCAPE ONE SIKUKUU YA XMAS
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Skylight Band yatoa ratiba yake ya wiki tukianza na mkesha wa X-MASS usiku wa leo ndani ya Escape One
24.12.14 Mkesha wa XMASS tutakua ESCAPE1, show itaanzaa saa mbili usiku, kiingilio buku 7000/= tu: tukutane ESCAPE1 tuikaribishe XMASS
Vile vile tunapenda kutoa taarifa na kuwaomba radhi wadau wetu kutokana na safari yetu ya kanda ya ziwa XMASS hii, show zetu za ijumaa tarehe 26.12.14 thai village na jumapili 28.12.14 ESCAPE1 hazitofanyika.
Ila tukutane tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 31.12.14 ndani ya ESCAPE1. .. Burudika na bendi yako katika msimu huu wa siku kuu…Skylight Band…just...
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Usikose mkesha wa May Day leo usiku na Skylight Band ndani ya Escape One
Bendi yako ya kijanja Skylight inakutangazia ratiba yake ya leo kwenye mkesha wa May Day ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni kuanzia saa 2 usiku mpaka kieleweke…Njoo ucheze ma-style ya nguvu ikiwemo style mpya ya “Kikuku Kwiyo-kwiyo”…Just Follow the light!
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Skylight Band yaendelea kulamba dume kwa mashabiki wake jijini Dar ndani ya kiota cha Thai Village
Majembe ya Skylight Band yakiporomosha burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower a.k.a Baba lao, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo na Sam Mapenzi.
Pichani juu na chini ni mashabiki nao wakijibu mapigo ya sebene lililokuwa likiporomoshwa na majembe ya Skylight Band.
Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower a.k.a Baba lao, Sony Masamba a.k.a Fally...
9 years ago
Dewji Blog27 Sep
Skylight yaendelea kukonga nyoyo mashabiki wake ndani ya Escape One Mikocheni ni kila siku ya Jumapili
9 years ago
VijimamboSKYLIGHT YAENDELEA KUKONGA NYOYO MASHABIKI WAKE NDANI YA ESCAPE ONE MIKOCHENI NI KILA SIKU YA JUMAPILI
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
11 years ago
Dewji Blog11 Jul
Skylight Band waendelea kutoa burudani ya kipekee ndani ya Thai Village huku ukishuhudia mechi za Kombe la Dunia Live!
Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali wakati akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku Hashim Donode akipiga back vocal. TUKUTANE THAI VILLAGE LEO USIKU KUANZIA SAA TATU BILA KUKOSA.
Digna Mbepera akiimba kwa hisia huku Aneth Kushaba AK47 akimpa sapoti.
Divas watatu wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita. Kutoka kushoto ni Digna Mbepera,...