SKYLIGHT YAENDELEA KUKONGA NYOYO MASHABIKI WAKE NDANI YA ESCAPE ONE MIKOCHENI NI KILA SIKU YA JUMAPILI
Wanaume wa shoka wakilisakata rhumba wakati wa kuwafurahisha mashabiki wa bendi ya Skylight wakati wa mkesha wa eid
Mwimbaji wa bendi ya Skylght Natasha akiwa anawapa mashabiki vionjo vya nyimbo za taratibu (kistaarabu) wakati wa mkesha huo wa Eid ndani ya kiwanja cha Escape One Mikocheni.
Bendi ya waimbaji wakali wa Skylight ikirindimisha baadhi ya nyimbo zao huku mbele kabisa akiwa anawaongoza wenzake katika uimbaji wa nyimbo hiyo Sony Samba.
Ashura Kitenge (kushoto) akiwa na Kasongo Junior...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog27 Sep
Skylight yaendelea kukonga nyoyo mashabiki wake ndani ya Escape One Mikocheni ni kila siku ya Jumapili
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0945.jpg)
SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE
10 years ago
Dewji Blog09 Feb
Skylight Band yakonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Nyama Choma Festival
Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba.
Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama “Mashauzi” mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo pichani).
Asali ya warembo Sam Mapenzi akifanya yake jukwaani kwenye tamasha la...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0020.jpg)
SKYLIGHT BAND YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA NYAMA CHOMA FESTIVAL
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0303.jpg)
SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO MASHABIKI ZAKE, NI IJUMAA HII TENA PALE THAI VILLAGE
10 years ago
Dewji Blog06 Feb
Skylight Band yaendelea kuwabamba mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village
Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Kisura mwingine wa Skylight Band anayefamika kwa jina la Baby.
Tukutane baadae tupunguze stress za wiki nzima kwa burudani iliyoenda shule na sehemu ya watu wastaarabu kama kawaida na mtonyo wetu ule ule getini.
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_1309.jpg?width=640)
SKYLIGHT BAND KUTOA BURUDANI ADIMU KWA MASHABIKI WAKE NDANI YA ESCAPE ONE SIKUKUU YA X-MASS NA BOXING DAY
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Skylight Band yaendelea kulamba dume kwa mashabiki wake jijini Dar ndani ya kiota cha Thai Village
Majembe ya Skylight Band yakiporomosha burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower a.k.a Baba lao, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo na Sam Mapenzi.
Pichani juu na chini ni mashabiki nao wakijibu mapigo ya sebene lililokuwa likiporomoshwa na majembe ya Skylight Band.
Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower a.k.a Baba lao, Sony Masamba a.k.a Fally...
9 years ago
MichuziNJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE MIKOCHENI