Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SKYLIGHT BAND YAFANYA KWELI NDANI YA ESCAPE ONE SIKUKUU YA XMAS

Vijana wa Skylight Band wakionyesha manjonjo yao kwa mashabiki wa Band hiyo wakati wa sherehe za XMAS ndani ya fukwe za kiota cha Escape One walipotoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao. Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani huku akipewa back up na Joniko Flower, Winnie pamoja na Digna Mbepera.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND KUTOA BURUDANI ADIMU KWA MASHABIKI WAKE NDANI YA ESCAPE ONE SIKUKUU YA X-MASS NA BOXING DAY

Kutoka kushoto ni Kipaji kipya ndani ya Skylight Band anafahamika kama DONODE, DIGNA MBEPERA, SAM MAPENZI na ANETH KUSHABA AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani ambapo X-MASS pamoja na BOXING DAY watakinukisha kwenye kiota cha Escape One kwenye upepo mwanana wa bahari.....Njoo ufurahie mapumziko yako na Band nambari moja mujini wengine wanafuata.… ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yafunika mbaya Eid Mosi ndani ya Escape One!

DSC_0011

Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony Masamba pamoja na Aneth Kushaba AK47.

DSC_0015

Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band katika kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ukumbi wa Escape One.

DSC_0306

Mashabiki wa Skylight Band mdogo mdogo wakiachia kwenye dancing floor.

DSC_0243

Sam Mapenzi akitoa burudani...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE!‏

Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony Masamba pamoja na Aneth Kushaba AK47. Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band katika kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ukumbi wa Escape… ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Usikose mkesha wa May Day leo usiku na Skylight Band ndani ya Escape One

DSC_0314

Bendi yako ya kijanja Skylight inakutangazia ratiba yake ya leo kwenye mkesha wa May Day ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni kuanzia saa 2 usiku mpaka kieleweke…Njoo ucheze ma-style ya nguvu ikiwemo style mpya ya “Kikuku Kwiyo-kwiyo”…Just Follow the light!

 

 

9 years ago

Dewji Blog

Skylight Band waendelea kuwasha moto wa nguvu ndani ya Escape One usikose leo

Waimbaji wa Bendi ya Skylight pamoja na mashabiki wa bendi hiyo wakiendelea kuzirudi katika kiota cha Escape One Jijini Dar es Salaam na leo sio siku ya kukosa maana utakosa vitu vizuri kutoka katika bendi hiyo

Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band.

Kasongo Junior...

 

9 years ago

Dewji Blog

Skylight Band kusindikiza Tamasha la Fahari ya Mwafrika ndani ya kiota cha Escape One leo Jumamosi

Mmiliki wa Skylight Band Dk Sebastian Ndege(Jembe ni Jembe) akicheza moja ya nyimbo ya bendi Skylight. Njoo leo Jumamosi kwenye Show ya Fahari ya Mwafrika itakayofanyika kwenye kiwanja cha Escape One ambapo Skylight Band ikisindikizwa na Msanii machachari Barnaba Classic watadondosha moja ya show kali usisubirie kusimuliwa njoo wewe na yule.   Sam Mapenzi pamoja akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki  wa bendi hiyo (hawapo pichani) waliofika kwenye kiota cha Escape One Mikocheni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yatoa ratiba yake ya wiki tukianza na mkesha wa X-MASS usiku wa leo ndani ya Escape One

10675565_408778115946839_5013196848087740184_n

24.12.14 Mkesha wa XMASS tutakua ESCAPE1, show itaanzaa saa mbili usiku, kiingilio buku 7000/= tu: tukutane ESCAPE1 tuikaribishe XMASS

Vile vile tunapenda kutoa taarifa na kuwaomba radhi wadau wetu kutokana na safari yetu ya kanda ya ziwa XMASS hii, show zetu za ijumaa tarehe 26.12.14 thai village na jumapili 28.12.14 ESCAPE1 hazitofanyika.

Ila tukutane tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 31.12.14 ndani ya ESCAPE1. .. Burudika na bendi yako katika msimu huu wa siku kuu…Skylight Band…just...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani