Skylight Band waendelea kuwasha moto wa nguvu ndani ya Escape One usikose leo
Waimbaji wa Bendi ya Skylight pamoja na mashabiki wa bendi hiyo wakiendelea kuzirudi katika kiota cha Escape One Jijini Dar es Salaam na leo sio siku ya kukosa maana utakosa vitu vizuri kutoka katika bendi hiyo
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band.
Kasongo Junior...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Usikose mkesha wa May Day leo usiku na Skylight Band ndani ya Escape One
Bendi yako ya kijanja Skylight inakutangazia ratiba yake ya leo kwenye mkesha wa May Day ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni kuanzia saa 2 usiku mpaka kieleweke…Njoo ucheze ma-style ya nguvu ikiwemo style mpya ya “Kikuku Kwiyo-kwiyo”…Just Follow the light!
9 years ago
Dewji Blog01 Nov
Jose Chameleone awapa surprise ya nguvu mashabiki wa Skylight Band, usikose leo kiota cha Escape One
Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu. Njoo leo Skylight imekuandalia suprise za kutosha kutoka katika bendi hii.
Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone (katikati) akiimba kwa hisia moja ya nyimbo yake uku akisindikizwa na waimbaji wa bendi ya Skylight kushoto ni Suzy pamoja na Kasongo Junior (kulia).
Sony Masamba ambaye ni mmoja...
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Skylight Band kukinukisha leo kiota cha Escape One katika Sunday Bonanza, usikose!
Sam Mapenzi ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akitoa burudani na kusindikizwa na waimbaji wenzake.
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka ndani ya Kiota cha Escape One Jumapili iliyopita, usikose na leo pia.
Mwimbaji wa bendi ya Skylight Natasha akiimba moja ya nyimbo zinazobamba hapa nchini uku akisindikizwa vizuri na...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND KUWASHA MOTO LEO KIWANJA KIPYA CHA LUKAS PUB
11 years ago
Dewji Blog09 May
Skylight Band ni moto wa kuotea mbali, ona walivyopagawisha mashabiki wao Thai Village usikose leo pia
Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band.
Wanamwita Sam Mapenzi mzee wa Sauti nyororoooo akipagawisha vilivyooo ndani ya Thai village
Maua mazuriiiii ya Skylight band kutoka kushoto ni Aneth kushaba(AK 47) Digna mpera na Winfrida Richard wakiwa wanapata uphoto wenye ISO za kutoshaaa ndani ya Thai Village
Mpiga Drums wa Skylight band Idrissa akiwa na furaha ya kutosha baada ya kuona mashabiki wake...
10 years ago
Dewji Blog05 Jun
Skylight Band yaendelea kuunguruma ndani ya kiota kipya cha Lukas Pub Masaki, usikose leo
Mwimbaji kutoka Bendi ya Skylight, Sony Masamba akitoa burudani ndani ya kiota cha Lukas Pub huku akisindikizwa na wasanii wenzake ambao ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK...
9 years ago
Dewji Blog03 Oct
Skylight Band kusindikiza Tamasha la Fahari ya Mwafrika ndani ya kiota cha Escape One leo Jumamosi
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Skylight Band yatoa ratiba yake ya wiki tukianza na mkesha wa X-MASS usiku wa leo ndani ya Escape One
24.12.14 Mkesha wa XMASS tutakua ESCAPE1, show itaanzaa saa mbili usiku, kiingilio buku 7000/= tu: tukutane ESCAPE1 tuikaribishe XMASS
Vile vile tunapenda kutoa taarifa na kuwaomba radhi wadau wetu kutokana na safari yetu ya kanda ya ziwa XMASS hii, show zetu za ijumaa tarehe 26.12.14 thai village na jumapili 28.12.14 ESCAPE1 hazitofanyika.
Ila tukutane tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 31.12.14 ndani ya ESCAPE1. .. Burudika na bendi yako katika msimu huu wa siku kuu…Skylight Band…just...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10