Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Snura: Sivai Tena Nguo za Utupu

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Majanga’, amesema hatavaa nguo za nusu uchi tena kwa kuwa ameshagundua makosa hayo.

Snura alisema awali alikuwa akivaa mavazi ya nusu uchi au nguo za kumbana, lakini kwa sasa amejirekebisha na anatambua nguo zinazompendeza ili kutokuleta sintofahamu kwa mashabiki wake.

“Kiukweli nashukuru ushauri wa watu katika suala la mavazi, nimeshajirekebisha kwa sasa sivai kama zamani mavazi yasiyofaa katika jamii,” alieleza Snura.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Snura: Sivai nguo za utupu tena

snuraNA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa kike na mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Majanga’, amesema hatavaa nguo za nusu uchi tena kwa kuwa ameshagundua makosa hayo.
Snura alisema awali alikuwa akivaa mavazi ya nusu uchi au nguo za kumbana, lakini kwa sasa amejirekebisha na anatambua nguo zinazompendeza ili kutokuleta sintofahamu kwa mashabiki wake.
“Kiukweli nashukuru ushauri wa watu katika suala la mavazi, nimeshajirekebisha kwa sasa sivai kama zamani mavazi yasiyofaa katika jamii,”...

 

10 years ago

Mtanzania

Batuli: Wazazi wanafurahia nguo za utupu

Na Festo Polea
MWIGIZAJI Yobnesh Yusuf maarufu kwa jina la Batuli, ameweka wazi kwamba tabia ya waigizaji wa kike kuvaa nguo za nusu uchi huwa zikifurahiwa na wazazi wa waigizaji hao.
Batuli alieleza hayo baada ya kuulizwa kwanini waigizaji wa kike wanapendelea mavazi ya nusu uchi wachezapo katika filamu zao.
“Hapo tatizo ni wazazi wa waigizaji hao wanaovaa nguo hizo wanaonyesha wanafurahia, kama wangechukizwa na tabia hiyo wasingevaa nusu uchi na kuiahibisha tasnia nzima na wanawake kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Siri za wazi ni utupu?

Sijui kwa nini napata picha kwamba watu wanakosa imani katika nchi yetu ya amani. Ni kama kule baharini.

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.

Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.

Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.

Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana,  tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...

 

11 years ago

GPL

MADENTI, PICHA ZA UTUPU ZA NINI?

Niwape hi kwa furaha sana wapendwa wasomaji wa safu hii, ingawa zaidi ningependa ziwafikie wanafunzi popote pale gazeti hili linaposomwa. Hawa jamaa ni wadau wangu wakubwa sana, hasa katika kubadilishana mawazo inapobidi. Juzi nilikuwa naperuziperuzi kwenye mtandao, mara nikakutana na picha za aibu zilizopigwa na msichana ambaye ametambulishwa kama ni mwanafunzi, haikuelezwa kama ni denti wa sekondari au vyuo, lakini kwa uzoefu,...

 

10 years ago

BBCSwahili

The Sun kutoshapisha picha za utupu

Gazeti la The Sun limesimamisha uchapishaji wa wanawake walio nusu uchi katika ukurasa wa tatu, gazeti la The Times linatuarifu

 

10 years ago

GPL

DENTI APIGA ZA UTUPU GESTI!

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga picha akiwa mtupu katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo Tabata, ambako alikwenda akiwa na nguo za shule, tukio linalodaiwa kutokea hivi karibuni. Denti wa chuo anayefahamika kwa jina moja la Martha akiwa mtupu kitandani. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, picha hizo ziliwekwa katika...

 

11 years ago

GPL

JOKATE: SIJAPIGA PICHA ZA UTUPU

Stori: Nyemo Chilongani Sexy lady Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake. Sexy lady Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi tofauti. Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtumwingine na kudai ni yeye.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani