Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Batuli: Wazazi wanafurahia nguo za utupu

Na Festo Polea
MWIGIZAJI Yobnesh Yusuf maarufu kwa jina la Batuli, ameweka wazi kwamba tabia ya waigizaji wa kike kuvaa nguo za nusu uchi huwa zikifurahiwa na wazazi wa waigizaji hao.
Batuli alieleza hayo baada ya kuulizwa kwanini waigizaji wa kike wanapendelea mavazi ya nusu uchi wachezapo katika filamu zao.
“Hapo tatizo ni wazazi wa waigizaji hao wanaovaa nguo hizo wanaonyesha wanafurahia, kama wangechukizwa na tabia hiyo wasingevaa nusu uchi na kuiahibisha tasnia nzima na wanawake kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BATULI: MUDA WA KUVAA UTUPU UMEPITA

MWIGIZAJI mwenye mvuto Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amewataka wasanii wenzake wabadilike na kuvaa kama yeye kwani muda wa kuvaa nusu utupu umepitwa na wakati. Mwigizaji mwenye mvuto Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ Akizungumza na paparazi wetu baada ya kutupia picha yake aliyovaa gauni refu mtandaoni, Batuli alisema: “Muda wa kuvaa utupu umepita, wasanii tunapaswa tubadilike kwani kila siku...

 

11 years ago

GPL

BATULI AKUBALI KUIGIZA NUSU UTUPU

MWANADAFADA mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kwa sasa yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi. Mwanadafada mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Akipiga stori mbili-tatu na kona hii, Batuli alisema kuwa muvi nyingi Bongo huwa zinafungiwa kwa kukosa maadili na kwamba kama ikitokea nafasi akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura: Sivai Tena Nguo za Utupu

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Majanga’, amesema hatavaa nguo za nusu uchi tena kwa kuwa ameshagundua makosa hayo.

Snura alisema awali alikuwa akivaa mavazi ya nusu uchi au nguo za kumbana, lakini kwa sasa amejirekebisha na anatambua nguo zinazompendeza ili kutokuleta sintofahamu kwa mashabiki wake.

“Kiukweli nashukuru ushauri wa watu katika suala la mavazi, nimeshajirekebisha kwa sasa sivai kama zamani mavazi yasiyofaa katika jamii,” alieleza Snura.

 

10 years ago

Mtanzania

Snura: Sivai nguo za utupu tena

snuraNA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa kike na mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Majanga’, amesema hatavaa nguo za nusu uchi tena kwa kuwa ameshagundua makosa hayo.
Snura alisema awali alikuwa akivaa mavazi ya nusu uchi au nguo za kumbana, lakini kwa sasa amejirekebisha na anatambua nguo zinazompendeza ili kutokuleta sintofahamu kwa mashabiki wake.
“Kiukweli nashukuru ushauri wa watu katika suala la mavazi, nimeshajirekebisha kwa sasa sivai kama zamani mavazi yasiyofaa katika jamii,”...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wazazi washtakiwa kwa 'kumruhusu' mtoto wao kuvalia nguo za kike

Luiz aliruhusiwa kuvalia nguo za kischana tangu alipokuwa na miaka mitatu baada ya wazazi wake kusadiki kwa ana jinsia mbili. Familia hiyo iliishia kuchunguzwa ili kubaini ikiwa ilikiuka haki ya mtoto huyo.

 

10 years ago

GPL

BATULI KUOLEWA SOON

Stori: Gladness Mallya
GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu, Risasi Jumamosi linakujuza. Msanii wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Batuli ambaye ni mama wa watoto wawili, ameliambia Risasi Jumamosi kuwa kwa umri alionao, amejifunza vitu vingi katika maisha hivyo kwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

BATULI, MTUNISI KIMEELEWEKA

Stori:Musa Mateja na Gladness Mallya
WASANII wawili wa filamu, Nice Mohamed ‘Mtunisi’ na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walikuwa wapenzi kabla ya kuachana na mwanaume huyo kuoa, sasa wamerudiana rasmi. Staa wa filamu Bongo Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicho jirani na wasanii hao kimesema wawili hao hivi sasa wanapika na kupakua.Kilisema baada ya kurudiana, kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maruhani yamtesa Batuli

NYOTA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kila aingiapo kwenye kazi ya kurekodi filamu, anapatwa na tatizo la kupandisha maruhani (mashetani), jambo ambalo linamkosesha raha. Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

BATULI LAIVU NA MWANAUME

Musa mateja DAH! Wakati mashabiki wake wakiamini si mtu wa ‘kurukaruka’ kivile, muigizaji mwenye mvuto wa aina yake Bongo Movies, Yobnesh Yussuph ‘Batuli’ amekwaa aibu baada ya picha zake zikimuonesha akiwa kimahaba chumbani na mchekeshaji Stan Bakora kuvuja, Ijumaa linakupa mchapo kamili. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ubl7KZ ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani