Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soko la Hisa laelezea mafanikio yake ya ukwasi 2015

Soko la Hisa la Dar es Salaam limeelezea mafaniko makubwa ya ongezeko la ukwasi wa soko kwa kipindi cha miaka minne, kutoka shilingi Bilioni 50 mwaka 2013 hadi trilioni 1.1 mwaka 2015, tangu ilipoanza kutekeleza mpango mkakati wa kuboresha utendaji wa soko, utakaomalizka mwaka 2017.

Ukwasi ni moja ya vipimo muhimu kinachoonyesha mwelekeo au mwenendo wa soko, ambapo kwa miaka minne iliyopita, wastani wa mauzo kwenye soko ilifikia Bilioni hamsini, ingawa ulianza kupanda mwaka 2013, na kufikia...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO), LAELEZEA MAFANIKIO YA MIRADI YAKE MBALIMBALI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Zena Kongoi.Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala wa STAMICO, Deusdedith Magala, akizungumza na wanahabari.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Zena Kongoi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na shirika hilo katika miradi mbalimbali....

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Soko la hisa la Ugiriki lafunguliwa

Soko la hisa nchini Ugiriki limefunguliwa muda mfupi uliopita, baada ya kufungwa kwa miezi mitano.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Swala yaingia soko la hisa


NA MWANDISHI WETUKAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala, imeingizwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), baada ya kukidhi vigezo vya masoko ya mtaji .Swala imekuwa kampuni ya kwanza ya mafuta na gesi kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kuingia kwenye soko la hisa. Hafla ya kuingizwa DSE, ilifanyika juzi  mjini Dar es Salaam, ambapo Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,  ambaye alikuwa mgeni wa heshima, alipiga kengele kuashiria uzinduzi wa kampuni hiyo kuingia DSE. Akizungumza...

 

9 years ago

MillardAyo

Exclusive Interview na Alikiba kabla ya show yake Escape One kesho Dec 26, mafanikio ya 2015, Ben Pol na mengine

Wakati inasubiriwa show ya Alikiba Escape One Mikocheni Dar es salaam kwenye boxing day December 26, kuna hii Interview ya Alikiba akihojiwa na Millard Ayo na kuzungumzia sehemu ya mafanikio yake 2015, alichoandikiwa na Ben Pol na mengine. Kabla hujaitazama hii Interview hapa chini, inabidi ujue pia kwenye hii show ya boxing day Escape One, Alikiba atafanya […]

The post Exclusive Interview na Alikiba kabla ya show yake Escape One kesho Dec 26, mafanikio ya 2015, Ben Pol na mengine appeared...

 

9 years ago

Michuzi

SOKO LA HISA NCHINI LAPOROMOKA KWAASILIMIA 62.

Na Ally Daud –MAELEZOIdadi ya mauzo katika soko la hisa la Dar es salaam DSE limeshuka kwa asilimia 62 kutoka shilingi bilioni 6.4 hadi kufikia shilingi bilioni 2.4 ambapo zimeuzwa na kununuliwa katika soko zimeshuka kutoka milioni 4.3 hadi kufikia milioni 2.7.
Akiongea na waandishi wa habari Meneja Miradi na Biashara waDar es salaam Stock Exchange  Bw. Patrick  Mususa alisema kuwa hata hvyo idadi ya mtaji katika soko umekuwa kutoka tilioni 21.9 hadi tilioni 22.3 ikiwa pia na idadi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali watakiwa kuchangamkia Soko la Hisa

Wajasiriamali na wafanyabiashara mkoani Mtwara, wamehimizwa kuchangamkia fursa ya kukuza mitaji inayotolewa na Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE kupitia kitengo chake cha kukuza wajasiriamali na kujipatia mitaji itakayokuza na kuimalisha biashara zao.

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni ya Swala yaingia Soko la Hisa

KAMPUNI ya Swala Oil & Gas jana imejiorodhesha rasmi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kupitia mlango wa soko dogo, yaani Enterprise Growth Market (EGM) ambalo ni mahususi kwa ajili ya kampuni ndogo na kati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani