Sokomoko
Nimekuja kwa kishindo, dukuduku kulitoa, Ni leo siyo mtondo, dharura ninaitoa, Tuubadili mtindo, wavulana kuokoa, Wasichana tumejali wavuli kawa pembeni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 May
Sokomoko za kisiasa Kenya
Kwenye safu yake hii ya kila Jumapili, Tido Mhando anasimulia visa na mikasa aliyokabiliana nayo kipindi chake kirefu cha kufanya kazi ya uanahabari, ndani na nje ya Tanzania, kwenye vituo vya utangazaji vya kimataifa.
10 years ago
Mwananchi12 May
Helikopta ya Ndesamburo yazua sokomoko
Kada wa CCM Buni Ramole, amejipalia mkaa kutokana na kauli yake kwamba helikopta ya Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ni mbovu na ingeweza kumuua.
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
SOKOMOKO LA MIGOMO Serikali imepoteza udhibiti
HISTORIA ya Tanzania imekubali dhana kwamba, kuna awamu nne za uongozi hata sasa; yaani, awamu ya kwanza (1961 hadi 1985) ya Mwalimu Nyerere, awamu ya pili (1985 hadi 1995) ya...
10 years ago
Mwananchi07 Mar
Vitambulisho vya Uzanzibari vyazua sokomoko
>Vyama vya upinzani Zanzibar, vimeshauri Sheria ya Uzanzibari ya Ukaazi ifanyiwe marekebisho kabla ya utaratibu wa uandikishaji wapigakura unaotarajiwa kuanza mwezi ujao.
9 years ago
BBCSwahili25 Oct
Sokomoko kuhusu majina ya wapiga kura Mwanza
Katika kituo cha Meko, nje kidogo ya mji wa Mwanza, kumetokea sokomoko, baadhi ya wakazi wanalalamika kwamba majina yao hayaonekani kwenye daftari la wapiga kura.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania