Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Helikopta ya Ndesamburo yazua sokomoko

Kada wa CCM Buni Ramole, amejipalia mkaa kutokana na kauli yake kwamba helikopta ya Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ni mbovu na ingeweza kumuua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Helkopta ya Ndesamburo yazua kizaazaa

Helkopta ya Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, imeleta kizaazaa, baada ya Kada wa CCM, Buni Ramolle ambaye aliikodi kwa ajili ya mikutano yake ya kutangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kudai kuwa ni mbovu na ilitaka kumuua.

 

11 years ago

Mwananchi

Helikopta yazua gumzo Kalenga

Wakazi wa Kijiji cha Ndiwili, Kata ya Magulilwa jimboni Kalenga, juzi walifunga shughuli zote katika kijiji hicho na kujitokeza kwa wingi kushuhudia mkutano wa Chadema ambao viongozi wake walitua katika kijiji hicho kwa kutumia helikopta.

 

9 years ago

Mwananchi

Sokomoko

Nimekuja kwa kishindo, dukuduku kulitoa, Ni leo siyo mtondo, dharura ninaitoa, Tuubadili mtindo, wavulana kuokoa, Wasichana tumejali  wavuli kawa pembeni.

 

11 years ago

Mwananchi

Sokomoko za kisiasa Kenya

Kwenye safu yake hii ya kila Jumapili, Tido Mhando anasimulia visa na mikasa aliyokabiliana nayo kipindi chake kirefu cha kufanya kazi ya uanahabari, ndani na nje ya Tanzania, kwenye vituo vya utangazaji vya kimataifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SOKOMOKO LA MIGOMO Serikali imepoteza udhibiti

HISTORIA ya Tanzania imekubali dhana kwamba, kuna awamu nne za uongozi hata sasa; yaani, awamu ya kwanza (1961 hadi 1985) ya Mwalimu Nyerere, awamu ya pili (1985 hadi 1995) ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Uzanzibari vyazua sokomoko

>Vyama vya upinzani Zanzibar, vimeshauri Sheria ya Uzanzibari ya Ukaazi ifanyiwe marekebisho kabla ya utaratibu wa uandikishaji wapigakura unaotarajiwa kuanza mwezi ujao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sokomoko kuhusu majina ya wapiga kura Mwanza

Katika kituo cha Meko, nje kidogo ya mji wa Mwanza, kumetokea sokomoko, baadhi ya wakazi wanalalamika kwamba majina yao hayaonekani kwenye daftari la wapiga kura.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndesamburo njiapanda

Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ana siku 72 za kuamua kugombea tena kiti hicho au la, ili kupisha wanachama wengine watangaze nia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ngawaiya ayamaliza na Ndesamburo

Hatimaye sakata la Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Thomas Ngawaiya dhidi ya Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (CHADEMA) limefikia tamati baada ya Jaji Amaisario Munisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani