Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngawaiya ayamaliza na Ndesamburo

Hatimaye sakata la Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Thomas Ngawaiya dhidi ya Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (CHADEMA) limefikia tamati baada ya Jaji Amaisario Munisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Daily News

Ngawaiya makes political comeback


Ngawaiya makes political comeback
Daily News
A FORMER Member of Parliament for Moshi Rural constituency under the ticket of Tanzania Labour Party (TLP), Mr Thomas Ngawaiya, has picked nomination forms to contest the post as a member of Chama Cha Mapinduzi. Mr Ngawaiya, a legislator for the ...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndesamburo njiapanda

Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ana siku 72 za kuamua kugombea tena kiti hicho au la, ili kupisha wanachama wengine watangaze nia.

 

10 years ago

Mwananchi

Helkopta ya Ndesamburo yazua kizaazaa

Helkopta ya Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, imeleta kizaazaa, baada ya Kada wa CCM, Buni Ramolle ambaye aliikodi kwa ajili ya mikutano yake ya kutangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kudai kuwa ni mbovu na ilitaka kumuua.

 

10 years ago

Mwananchi

Helikopta ya Ndesamburo yazua sokomoko

Kada wa CCM Buni Ramole, amejipalia mkaa kutokana na kauli yake kwamba helikopta ya Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ni mbovu na ingeweza kumuua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndesamburo: Nitalirudisha Soko la Kiborloni

MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chedema), amewahakikishia wakazi wa Kata ya Kiborloni kuwa atalirejesha soko lao la nguo na viatu vya mitumba lililohamishwa mwaka 2007. Soko hilo maarufu kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndesamburo amkingia kifua Lowassa

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionekana kutikiswa na ushawishi wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, wa kutaka kutimiza safari yake ya kuwapatia Watanzania elimu bure, Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon...

 

9 years ago

Mwananchi

Ndesamburo aitisha CCM Kilimanjaro

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), utashinda kwa zaidi ya asilimia 60 katika majimbo tisa ya mkoa huo.

 

10 years ago

Mtanzania

Ndesamburo amshtaki RC kwa Rais Kikwete

ndesa-nov25-2013Gama-Moshi----October25-2014Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro

MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo amemshtaki Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na kile alichosema ni harufu ya rushwa katika kugawa kiwanja cha umma kinyume cha sheria.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na mbunge huyo ilisema, kiwanja hicho chenye hati namba 10660 ambacho ndipo zilipo ofisi za Kata ya Mawenzi ambacho zamani kilikuwa kikimilikiwa na The Registered Trustees of Mawenzi Sports Club...

 

9 years ago

Mwananchi

Ndesamburo: Naona fahari kuwaangusha mawaziri wa JK

Mwenyekiti wa Chadema wa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo anaona fahari kuwaangusha mawaziri wawili  wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani