Ndesamburo njiapanda
Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ana siku 72 za kuamua kugombea tena kiti hicho au la, ili kupisha wanachama wengine watangaze nia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Njiapanda
Kwa neno moja unaweza kusema kwamba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na wananchi kwa ujumla wako “njiapandaâ€.
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Taifa njiapanda
>Wakati Taifa likijiandaa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, yamebainika mambo matatu mazito ambayo yanaliweka njiapanda , hali inayosababisha viongozi na hata wananchi kubaki na maswali lukuki wakihoji hatma ya nchi yao.
10 years ago
Vijimambo09 Oct
kura ya maoni njiapanda
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2480020/highRes/846807/-/maxw/600/-/rqkp8uz/-/kura.jpg)
10 years ago
Mwananchi14 Jul
UN yaiweka njiapanda Afrika
>Nchi za Afrika zinakabiliwa na matatizo mengi katika kufikia vigezo vya ukusanyaji wa takwimu za Pato la Taifa (GDP) kama zilivyopendekezwa na Umoja wa Mataifa (UN) katika mkutano uliofanyika mwaka 2008.
11 years ago
Mwananchi14 Jul
JK: Ukawa wameniweka njiapanda
Rais Jakaya Kikwete amesema msimamo wa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umemweka njiapanda sawa na Watanzania wengine wanaoshangaa.
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Escrow Njiapanda, wabunge wagawanyika
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo jana alipangua hoja zilizotolewa na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), kuhusu ufisadi uliofanyika katika Akaunti ya Tegeta Escrow na kuacha wananchi njia panda kwa kutokuelewa nani anasema ukweli kati yake na kamati hiyo, inayoongozwa na Zitto Kabwe.
10 years ago
Habarileo02 Mar
Komba awaacha CCM ‘njiapanda’
KIFO cha Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba kimetajwa kuwa pigo kubwa kisiasa kwa viongozi wengi ambao baadhi wameshuhudia namna walivyosaidiwa katika kampeni kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Mbeya City njiapanda mapinduzi
Timu ya Mbeya City ipo njiapanda kushiriki ama kutokushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar licha ya kupewa mwaliko, ilifahamika.
10 years ago
Mwananchi18 May
Wabunge CCM sasa njiapanda
>Wakati mkutano wa mwisho wa Bunge la 10 ukiendelea, baadhi ya wabunge CCM wamebaki njiapanda kimaamuzi iwapo waendelee kuikosoa Serikali ya chama chao na kujiweka mahali pazuri kwa wapigakura wao au waifagilie Serikali bila ya kujali hatima ya ubunge wao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania