Mbeya City njiapanda mapinduzi
Timu ya Mbeya City ipo njiapanda kushiriki ama kutokushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar licha ya kupewa mwaliko, ilifahamika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Mbeya City yajinoa kwa Mapinduzi Cup
TIMU ya soka ya Mbeya City, imeanza rasmi maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza visiwani Zanzibar Januari Mosi hadi...
11 years ago
GPLAZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA
Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…
9 years ago
MichuziMBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA
Kocha wa Timu ya Mbeya City fc a.k.a Wakoma Kumwanya ndugu, Juma Mwambusi akizungumza jambo na baadhi ya Vyombo vya Habari mara baada ya Mtanange huo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kumalizika katika Uwanja wa kumbukumbu Sokoine Jijini Mbeya, Ambapo Mbeya City FC waliibuka kidedea kwa kuichalaza Jkt Ruvu goli 3-0, ambapo Dakika ya 23 mchezaji Joseph Mahundi kuipatia Mbeya City Goli la Kwanza na Goli la Pili toka kwa Temy Felix Dakika ya 57 kwa mkwaju wa Penati, huku Goli la Tatu...
11 years ago
Michuzi11 Feb
MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya
JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
GPLWAKAZI WA MBEYA WACHANGAMKIA JEZI ZA MBEYA CITY
Wakazi wa Mbeya wakichangamkia jezi za Mbeya City. Mkazi wa Mbeya akiwa ndani ya jezi Hali ya jiji la Mbeya leo…
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania