Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndesamburo aitisha CCM Kilimanjaro

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), utashinda kwa zaidi ya asilimia 60 katika majimbo tisa ya mkoa huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini

Moshi. Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo ameapa kufanya kampeni angani na ardhini, kuhakikisha kuwa CCM inashindwa vibaya uchaguzi mkuu wa 2015.Katika mahojiano maalumu na gazeti hili jana mjini Moshi, Ndesamburo aliahidi kutoa helikopta yake na kukodi nyingine kutoka nje ya nchi kuendesha kampeni hiyo ya nguvu.Hata hivyo, Ndesamburo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, alikataa kutaja idadi ya helikopta zitakazokodishwa akisema kufanya hivyo ni kuwapa faida maadui...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini

Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo ameapa kufanya kampeni angani na ardhini, kuhakikisha kuwa CCM inashindwa vibaya uchaguzi mkuu wa 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Makada CCM waanza kukitolea macho ‘kiti’ cha Ndesamburo

>Makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ‘wamegongana’ kutangaza nia ya kumrithi Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema).

 

10 years ago

Dewji Blog

Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”

IMG-20150506-WA0008

Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.

 

9 years ago

Habarileo

Samatta aitisha Msumbiji

MTANZANIA Mbwana Samatta jana alinoa vizuri makali yake baada ya kufunga mabao mawili wakati klabu yake ya TP Mazembe wakati ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali wa Ligi ya Mabingwa wa Afrika.

 

10 years ago

Mtanzania

JK aitisha Kamati Kuu

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma kesho.

Habari za uhakika zilizopatikana Dar es Salaam jana, zinasema moja ya ajenda kubwa inayoweza kutawala kikao hicho ni mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba ambalo limesusiwa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Kwa muda sasa Ukawa wamekuwa wakimtaka Rais Kikwete aliahirishe Bunge Maalumu la...

 

9 years ago

Habarileo

Kibadeni aitisha Ethiopia

KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibadeni amesema kikosi chake kipo imara na wamejipanga kuendeleza ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi ya Ethiopia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Uturuki aitisha uchaguzi mkuu

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, ametangaza uchaguzi mkuu. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mosi mwaka huu.

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri Mkuu, Majaliwa Aitisha Kikao na Baraza la Mawaziri

IMGS5555

IMGS5561Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.IMGS5554Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani