Kibadeni aitisha Ethiopia
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibadeni amesema kikosi chake kipo imara na wamejipanga kuendeleza ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi ya Ethiopia.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UgLUjuQwZfM/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania18 Aug
JK aitisha Kamati Kuu
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma kesho.
Habari za uhakika zilizopatikana Dar es Salaam jana, zinasema moja ya ajenda kubwa inayoweza kutawala kikao hicho ni mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba ambalo limesusiwa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kwa muda sasa Ukawa wamekuwa wakimtaka Rais Kikwete aliahirishe Bunge Maalumu la...
9 years ago
Habarileo05 Oct
Samatta aitisha Msumbiji
MTANZANIA Mbwana Samatta jana alinoa vizuri makali yake baada ya kufunga mabao mawili wakati klabu yake ya TP Mazembe wakati ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali wa Ligi ya Mabingwa wa Afrika.
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Ndesamburo aitisha CCM Kilimanjaro
9 years ago
BBCSwahili21 Aug
Rais wa Uturuki aitisha uchaguzi mkuu
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Waziri Mkuu, Majaliwa Aitisha Kikao na Baraza la Mawaziri
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Rooney aitisha kikao cha dharura Man United
10 years ago
Dewji Blog09 May
Rais aitisha kikao cha wakuu wa EAC kujadili Burundi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ameitisha mkutano wa wakuu wenzake wa nchi hizo tano wa EAC, Jumatano ijayo, Mei 13, 2015, kujadili hali ilivyo katika Burundi, kwa kadri nchi hiyo inavyojiandaa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Juni 26, mwaka huu.
Rais Kikwete ametangaza habari ya kuitisha mkutano huo wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika Makao...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Kibadeni amfunika Logarusic