Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samatta aitisha Msumbiji

MTANZANIA Mbwana Samatta jana alinoa vizuri makali yake baada ya kufunga mabao mawili wakati klabu yake ya TP Mazembe wakati ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali wa Ligi ya Mabingwa wa Afrika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Samatta: Tutawazima Msumbiji

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, amesema kwa morali wa kila mchezaji katika kikosi cha Taifa Stars, hana hofu na ushindi katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Samatta, Ulimwengu wawafuata Msumbiji

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania wanaochezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, wanatarajiwa kuwasili nchini kesho. Wachezaji hao wanakuja kujiunga na kambi ya timu...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI


Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...

 

10 years ago

Mtanzania

JK aitisha Kamati Kuu

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma kesho.

Habari za uhakika zilizopatikana Dar es Salaam jana, zinasema moja ya ajenda kubwa inayoweza kutawala kikao hicho ni mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba ambalo limesusiwa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Kwa muda sasa Ukawa wamekuwa wakimtaka Rais Kikwete aliahirishe Bunge Maalumu la...

 

9 years ago

Habarileo

Kibadeni aitisha Ethiopia

KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibadeni amesema kikosi chake kipo imara na wamejipanga kuendeleza ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi ya Ethiopia.

 

9 years ago

Mwananchi

Ndesamburo aitisha CCM Kilimanjaro

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), utashinda kwa zaidi ya asilimia 60 katika majimbo tisa ya mkoa huo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Uturuki aitisha uchaguzi mkuu

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, ametangaza uchaguzi mkuu. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mosi mwaka huu.

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri Mkuu, Majaliwa Aitisha Kikao na Baraza la Mawaziri

IMGS5555

IMGS5561Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.IMGS5554Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

9 years ago

Mwananchi

Rooney aitisha kikao cha dharura Man United

Baada ya matokeo mabaya kwa klabu ya Manchester United kwa miaka 17, nahodha wa klabu hiyo, Wayne Rooney ameitisha kikao cha dharura kwa wachezaji wote na kuwataka wabadilike.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani