Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makada CCM waanza kukitolea macho ‘kiti’ cha Ndesamburo

>Makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ‘wamegongana’ kutangaza nia ya kumrithi Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MRATIBU WA MATAWI YA CHAMA CHA CCM MAREKANI AWAKARIBISHA NYAMA CHOMA MAKADA WENZAKE

Bi. Loveness Mamuya ambaye ni mratibu wa matawi ya CCM nchini Marekani akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge mtarajiwa Jimbo la Kawe Bwn. Gabriel Munasa siku ya Jumamosi April 18, 2015 nyumbani kwake mji wa Odenton, Maryland alipowaandalia nyama choma ya nguvu. kutoka kushoto ni Loveness Mamuya, Gabriel Munasa, Kelvin Mbogo na Dr. Secelela Malecela wakifurukutwa na chama cha CCM walipopata ukodak na bendera ya chama. Mwenyekiti wa Vijana CCM mkoa wa Katavi Bwn. Kelvin Mbogo nae akipata...

 

10 years ago

Dewji Blog

Magufuli kupeperusha bendera ya CCM kiti cha Urais Oktoba 2015

magufuli

1. Mh. John Magufuli amepata kura 2104 sawa na Asilimia 87.1%

2. Balozi Amina Salim 253 sawa na Asilimia 10.5..

3. Mh. Asha-Rose Migiro kura 59 sawa na 2.4%

Kura zilizopigwa 2422,

Kura zilizoharibika 6,

Kura halali 2416,

Kwa mujibu wa Mh.Makinda

Hatimae Mh Dr. John Pombe Magufuli apendekezwa kupeperusha Bendera ya CCM nafasi ya urais kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu katika kikao cha Mkutano mkuu wa chama hicho mjini Dodoma

Jiandikishe ili uweze kupiga...

 

5 years ago

Michuzi

Chama kikuu cha upinzani cha CNL kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake wa kiti cha urais

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais wa Mei 20 mwaka huu.

Wajumbe wa chama cha National Congres for Liberty jana walimuidhinisha Rwasa aliye na umri wa miaka 56 kama mgombea wao katika uchaguzi wa Rais wa mwezi Mei.

Agathon Rwasa atachuana katika uchaguzi huo na Jenerali wa jeshi Evariste Ndayishimiye ambaye ni muitifaki wa Nkurunzia. Mwezi uliopita chama tawala Burundi CNDD-FDD kilimchagua jenerali huyo wa jeshi...

 

9 years ago

Mwananchi

Ndesamburo aitisha CCM Kilimanjaro

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), utashinda kwa zaidi ya asilimia 60 katika majimbo tisa ya mkoa huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Makada CCM wamvaa JK

Makada wawili wa CCM wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu, anaondoa makundi ndani ya chama hicho, ambacho kinakabiliwa na kazi ngumu ya kumpata mgombea wake bila ya kutokea mpasuko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yawasulubu makada wake

KAMATI ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imewasulubu makada wake watatu miongoni mwa sita ambao wanatuhumiwa kwenda kinyume cha maadili ya chama hicho tawala. Makada hao ambao baadhi yao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makada CCM waonya kubebana

BAADHI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watamkataa mgombea yeyote wa urais atakayebebwa au kupata upendeleo wa baadhi ya vigogo au kundi lolote kwa maslahi binafsi. Wakizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani