Somalia sasa yatoa orodha ya Al Shabaab
Somalia imetangaza orodha watu 11 inaodai kuwa ni viongozi wa wa kundi la wapiganaji wa kiislamu wa Al shabaab
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen02 Nov
Shabaab kills 12 in Somalia
At least 12 people were killed in the Somali capital yesterday after Al Shabaab gunmen used a vehicle packed with explosives to blast their way inside a hotel, police said.
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
AL Shabaab washambulia ikulu Somalia
Serikali ya Somalia imedhibiti ikulu mjini Mogadishu na kuwaua wanamgambo wa Al shabaab waliovamia.
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Kiongozi wa Al Shabaab auawa Somalia
Kongozi mmoja wa kundi la Al Shabaab Abdirahman Sandhere ameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani.
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Al-Shabaab wapata pigo Somalia
Wanajeshi nchini Somali wameidhibiti milima ya Galgala kutoka kwa wapiganaji wa Al-shabaab,kulingana na utawala wa eneo hilo.
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
Ngome ya al-Shabaab yadhibitiwa Somalia
Vikosi vya Ethiopia na Somalia vimedhibiti Mji wa Radboore nchini Somalia
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Vikosi vyapambana na Al Shabaab Somalia
Makabiliano makali yanaendelea kati ya wanajeshi wa AMISOM na wapiganaji wa Al Shabaab katika eneo la hoteli ya wanajeshi hao
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
Jasusi wa Al Shabaab auawa Somalia
Wakaazi wa Kusini mwa Somalia, wameambia BBC kuwa kamanda wa Al Shabaab ambaye pia ni jasusi mkuu wa kundi hilo ameuawa na majeshi ya Marekani
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Al shabaab lavamia hoteli mbili Somalia
Wapiganaji wa kundi la Alshabaab wamevamia hoteli mbili katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu .
11 years ago
BBCSwahili03 Jul
Al-Shabaab wadai kumuua mbunge Somalia
Wanamgambo wa Al Shabab nchini Somalia wamedai kumuua kwa kumfyatulia risasi mbunge maarufu mjini Mogadishu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania