Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Songwe kuhudumia ndege za kimataifa

KIWANJA cha ndege cha Songwe mkoani Mbeya kitaanza kuhudumia ndege za kimataifa kuanzia mwakani, baada ya kukamilika kwa miundombinu yote, ikiwemo taa kwa ajili ya ndege kutua nyakati za usiku.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)

Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, karatasi inayotumika kuonyesha aina za mizigo inayopakiwa kwenye ndege wakati wataalam hao walipotembelea Kampuni hiyo, mwishoni mwa wiki kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, ngazi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Taa zakwamisha ndege za mashirika ya kimataifa kutua Songwe Airport

UWANJA wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya unafunga mwaka ukiwa na ongezeko la abiria takribani mara

Felix Mwakyembe

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uwanja wa Ndege Songwe wawa kivutio cha watalii

UWANJA wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, mkoani hapa, umekuwa sehemu ya vivutio vya utalii vinavyopatikana kwenye mikoa ya Kanda za Juu Kusini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa...

 

9 years ago

Michuzi

Tume ya Mipango watembelea uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya

Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Tume ya Mipango ikitembelea uwanja wa ndege wa Songwe kujionea maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.Mmoja wa waongoza ndege katika Uwanja wa Ndege wa Songwe, Bw. Emmanuel Mgaza akitoa maelezo ya jinsi ndege inavyoongozwa mpaka kutua kwa timu ya ukaguzi iliyotembelea uwanjani hapo Mtaalumu wa kuongoza ndege katika uwanja wa Songwe Bw. Baraka Mwakipesile akitoa maelezo kwa baadhi ya wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: KCee alipogeuka mhudumu wa ndege kwa kuvaa sare na kuhudumia abiria!

Pata picha unasafiri na ndege, na mhudumu anayekukaribisha mlangoni na kukuonesha pa kukaa ni Diamond ambaye pia baadaye anakuja kukuhudumia chakula na vinywaji wakati wa safari. Ndivyo ilivyokuwa Jumamosi ya Oct.24 pale mwimbaji wa Nigeria, Kcee alipogeuka kuwa mhudumu wa ndege kwa siku moja, ambapo alivaa sare za ‘cabin crew’ na kuhudumia abiria kwenye safari […]

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana. Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANAYAKAZI WA UWANJA WA NDEGE SONGWE WACHELEWAJI KUFIKA KAZINI ABIRIA WALEO ALFAJIRI WASOTA KWA MASAA WAKIWASUBIRI WAFANYAKAZI HAO

Songwe international Reporting time 6.15am Basi la airport staff linafika 07.40 am likiwa na wafanyakazi hivi kweli ndiyo utaratibu wa kazi?Abiria wakiwa wameduwaa wala hawajui wa kumuuliza kuwa ndege ipo au la poleni sana abiria wa leo asubuhiFoleni ya mabegi hakuna wa kukagua kazi ipo jee huu ni uungwana? kuwasotesha Abiria namna hii?

 

5 years ago

Michuzi

KWANDIKWA AAGIZA UBORA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE


Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Bw. Pius Kazeze, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, wakati Naibu Waziri huyo alipokuwa akikagua hatua za uboreshaji wa kiwanja hicho, mkoani Mbeya Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoka kukagua eneo linalongezwa kwa ajili ya usalama wa ndege zinazoruka na kutua katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe, mkoani MbeyaMuonekano wa jengo la abiria la sasa linalotumika, jengo jipya la abiria linalojengwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndege kimataifa zaongezeka Kia

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia), umeongeza idadi ya ndege za kimataifa zitakazoanzia safari hapo, ikiwa ni moja ya malengo ya kuendeleza kampeni ya kuinua utalii ukanda wa kaskazini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani