Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SSRA iliposhiriki maonuesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Mkurugenzi wa Matekelezo na Uandikishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Lightness Mauki (kulia) akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka hiyo kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea Banda la SSRA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam.Mkurugenzi wa Matekelezo na Uandikishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Lightness...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SSRA katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja

Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika (kushoto), akisaini kitabu cha wageni, wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), katika ufunguzi huo. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Agnes Lubuva. Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika (kushoto), akisikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAKABIDHIWA ZAWADI YA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YALIYOFANYIKA CONGO BRAZAVILLE

Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (katikati) akipokea cheti cha ushiriki wa Tanzania kutoka kwa Mmoja wa Washiriki wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma  Barani Afrika Bw. William Budoya yaliyofanyika nchini Congo Brazaville hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Florence Temba (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (wa pili kutoka kushoto) na...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Na. Ally Mataula na Rocky Setembo.
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZIELEKEZA TAASISI ZA UMMA KUADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MWAKA 2020 KWA KUDUMISHA USHIRIKIANO NA WADAU

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Mb), Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akitoa maelekezo ya namna ya kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2020 mapema leo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb).

***********************************

Na: James Mwanamyoto – Dodoma

Tarehe 14 Juni, 2020

Taasisi za umma nchini zimeelekezwa kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MAFAO WAYATOWAYO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA

BAADHI YA MAOFISA KUTOKA MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA Umma 'PSPF' WAKIWA TAYALI KUWASIKILIZA WATU MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA. Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia  akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimpatia mahelezo mmoja ya wananchi...

 

10 years ago

GPL

MWINYI AHITIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Mteja akiwa ametembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kupewa maelekezo na mfanyakazi wa wizara hiyo juu ya huduma wanazozifanya. Baadhi ya watumishi wa banda la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakitoa maelekezo kwa wateja wao.…

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Msemaji wa Jeshi la Polisi Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Advera Bulimba akitoa elimu kwa wananchi katika Maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam ambapo jeshi la Polisi ni moja ya Taasisi zinazoshiriki katika Maonyesho hayo. picha na Jeshhi la Polisi. Mrakibu wa Polisi (SP) Adam Maro akitoa elimu katika Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma ambapo Jeshi la Polisi ni moja ya Taasisi za umma zinazoshiriki katika Maonyesho hayo. picha na ...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUFUNGULIWA JUNI 16


TANGAZOJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
inawakaribisha wananchi na wadau wote katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Tarehe 16-23 Juni, 2015
Mahali: Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam
Kaulimbiu: “Utumishi wa Umma katika Bara la Afrika ni Chachu ya Kuwawezesha Wanawake, Kuongeza Ubunifu na Kuboresha Utoaji Huduma kwa Umma”.
Ushauri  na Huduma mbalimbali zitatolewa na wataalamu kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF na huduma bora Wiki ya Utumishi wa Umma

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Hamis Mdee akitoa maelekezo kwa Maofisa wa Mfuko huo katika maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja. Maofisa wa Mfuko katika banda la NHIF kitengo cha Usajili wa wanachama wakiendelea na uhakiki wa nyaraka kwa ajili ya vitambulisho. Wadau waliotembelea banda la NHIF wakipatiwa huduma. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akitaka ufafanuzi wa jambo katika banda la Mamlaka ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani