St John, CBE wafundwa akiba na kujiajiri
WASOMI na wahitimu wa vyuo vikuu wametakiwa kuwa na namna bora ya kujiwekea akiba na kujiajiri pindi wanaposubiri ajira za kudumu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo14 Dec
Wahitimu uhasibu wafundwa kujiajiri
WAHITIMU wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wameaswa kutumia mafunzo ya ujasiriamali waliyoyapata chuoni hapo katika kukabiliana na changamoto ya soko la ajira na kuelekeza mawazo yao katika kujiajiri badala ya kuajiriwa.
9 years ago
Habarileo16 Dec
Tucta wafundwa
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika (OATUU), Mezholid Arezki amehimiza Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania(Tucta) kushirikiana kuhakikisha wanaboresha maslahi ya wafanyakazi nchini.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Waajiri wafundwa
WAAJIRI wametakiwa kushiriki Siku ya Taaluma nchini (Career Day) ambayo hufanyika kila mwaka katika Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara cha Moshi (MUCCoBS) kama sehemu muhimu ya kukutana na watu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PfEgRPHovLTz2xGHFVMg2uvr5GPwI40EHtV-Xk3uuHYNc-bE7JqufbYaiISvOvkgPnM4Hizv1D6z4DP8Yr8m4DdfWF1QgUOp/papa.jpg?width=650)
PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUTANGAZWA WATAKATIFU LEO
10 years ago
Habarileo16 Nov
Profesa ahimiza wahitimu kujiajiri
WATANZANIA wametakiwa kuondoa dhana potofu ya kupata elimu na kukaa maofisini tu, badala yake watumie elimu kunufaisha jamii inayowazunguka na kutatua tatizo la ajira nchini.
9 years ago
Habarileo23 Oct
Wahitimu JKT kuwezeshwa kujiajiri
VIJANA wanaohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea na kurudi makwao bila kupata ajira, wamewekewa mpango maalumu wa kuwafuatilia na kuwawezesha kujiajiri popote watakapokuwa nchini.
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Kutana na vijana walioamua kujiajiri
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2zlx83PxCVQ/VJQJ5UIIxOI/AAAAAAAG4aU/TX0TTKXpqqw/s72-c/lukuviiii.jpg)
KUJIAJIRI NI FURSA PEKEE YA MAENDELEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-2zlx83PxCVQ/VJQJ5UIIxOI/AAAAAAAG4aU/TX0TTKXpqqw/s1600/lukuviiii.jpg)
Serikali imewashauri wahitimu kujiajiri wenyewe badala ya kutegemea ajira kutoka serikalini kwani inatambua ukosefu wa ajira nchini.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar ea Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Willium Lukuvi alipokuwa akifungua kongamano la mafunzo kwa wajasiliamali wadogo wadogo.
Amesema kuwa vijana wanatakiwa kuweka mkazo katika suala la ujasiriamali na kujihusisha na mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali ili kuwa na fursa...
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Walimu Tabora wafundwa
WAHITIMU 175 wa Chuo cha Ualimu Tabora wameaswa kutumia mafunzo ya ualimu waliyopata kwa uadilifu na kamwe wasije kuwa mzigo kwa serikali na jamii. Meneja wa Mfuko wa PSPF Mkoa...