Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahitimu uhasibu wafundwa kujiajiri

WAHITIMU wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wameaswa kutumia mafunzo ya ujasiriamali waliyoyapata chuoni hapo katika kukabiliana na changamoto ya soko la ajira na kuelekeza mawazo yao katika kujiajiri badala ya kuajiriwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

St John, CBE wafundwa akiba na kujiajiri

WASOMI na wahitimu wa vyuo vikuu wametakiwa kuwa na namna bora ya kujiwekea akiba na kujiajiri pindi wanaposubiri ajira za kudumu.

 

9 years ago

Habarileo

Wahitimu JKT kuwezeshwa kujiajiri

VIJANA wanaohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea na kurudi makwao bila kupata ajira, wamewekewa mpango maalumu wa kuwafuatilia na kuwawezesha kujiajiri popote watakapokuwa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Profesa ahimiza wahitimu kujiajiri

WATANZANIA wametakiwa kuondoa dhana potofu ya kupata elimu na kukaa maofisini tu, badala yake watumie elimu kunufaisha jamii inayowazunguka na kutatua tatizo la ajira nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Wahitimu vyuo vikuu wahimizwa kujiajiri

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma, Harun Ali Suleiman amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia taaluma zao kwa lengo la kujiajiri badala ya kusubiri ajira serikalini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wahitimu Aga Khan wafundwa

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Profesa Sifuni Mchome amewataka wanafunzi wanaohitimu fani mbalimbali, kutumia taaluma zao kuleta mabadiliko na maendeleo ndani ya jamii.

 

11 years ago

GPL

JOKATE AWATAKA WAHITIMU WA VYUO VIKUU KUJIAJIRI

Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira.
Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) na Ugavi (BPLM) yafana TIA

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Felister Kulaya,Janeth Maleto,Eliza Hollo na Oscar Uwesu wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada hiyo jana katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam.

 Wahitimu wa Stashahada ya Uhasibu (DA) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Janet na Edna wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya...

 

11 years ago

Michuzi

Jokate Mwegelo awataka wahitimu wa vyuo vikuu kujiajiri

Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006,Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira. Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006,Jokate Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar...

 

10 years ago

Habarileo

Vyuo vikuu vyaaswa kupitia upya mitaala wahitimu kujiajiri

VYUO vikuu nchini vimeshauriwa kuangalia upya mitaala yao ili viwe na mfumo wa kutengeneza mazingira ya vijana kujiajiri mara baada ya kuhitimu masomo yao ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa ajira uliopo hivi sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani