Staili ya Chenge escrow yanoga
>Staili ya Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ya kukwamisha Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kujadili watu wanaohusishwa na fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, imezidi kunoga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Chenge agonga mwamba escrow
10 years ago
Mtanzania07 Jan
Kashfa ya Escrow yamng’oa Chenge rasmi
Na Fredy Azzah, Dar Es Salaam
WAKATI Watanzania wakisubiri hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ambaye Rais Jakaya Kikwete alisema anamuweka kiporo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge, ametangaza rasmi kuachia nafasi hiyo.
Bunge lililopita baada ya kujadili ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu miamala...
10 years ago
Mtanzania05 May
Chenge akataa jumla kuhojiwa Escrow
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutoa zuio la kudumu kwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Baraza la Maadili ya Viongozi kuendelea kushughulikia lalamiko lolote la kimaadili dhidi yake linalotokana na ripoti ya CAG na PAC.
Malalamiko yaliyowasilishwa katika baraza hilo ni tuhuma za kupokea fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Chenge kupitia...
10 years ago
GPLCHENGE AZIDI KUHOJIWA SAKATA LA ESCROW!
10 years ago
TheCitizen30 Dec
Prosecute Chenge, Ngeleja over escrow saga: activists
10 years ago
Vijimambo08 Jan
Tibaijuka, Chenge watumiwa ankara kodi ya Escrow
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nchemba-08Jan2014.jpg)
Serikali imesema imeshachukua hatua za kulipwa kodi kutoka kwa watu walionufaika na mgawo wa fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema wizara yake imeshawaandikia ankara za malipo ya kodi wadaiwa wote waliopokea mgawo huo.
Nchemba, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), alisema serikali imewapatia siku 30 watu hao ili...
10 years ago
TheCitizen05 May
Escrow: Chenge files petition against ethics proceedings
10 years ago
TheCitizen08 Aug
Ethics tribunal questions Chenge over escrow cash
10 years ago
Habarileo31 Jan
Chenge ataka ushahidi ufisadi akaunti ya Escrow, ATCL
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ametakiwa kuwasilisha ushahidi kuthibitisha kauli yake ya kumtuhumu Mbunge Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), kwa ufisadi.