Chenge akataa jumla kuhojiwa Escrow
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutoa zuio la kudumu kwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Baraza la Maadili ya Viongozi kuendelea kushughulikia lalamiko lolote la kimaadili dhidi yake linalotokana na ripoti ya CAG na PAC.
Malalamiko yaliyowasilishwa katika baraza hilo ni tuhuma za kupokea fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Chenge kupitia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV27 Feb
Chenge akata rufaa mahakama kuu, akataa kuhojiwa.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar Es Salaam.
Baada ya Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge kugoma kuhojiwa na sekratarieti ya maadili ya viongozi wa umma kuhusiana na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, Mbunge huyo sasa amekimbilia mahakama kuu ili kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa sekretarieti hiyo wa kutaka kumhoji.
Chenge ambaye ni kiongozi wa kwanza kuitwa kuhojiwa na tume hiyo kwa tuhuma za kuhusishwa kwenye kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow amehoji pia uwezo wa wanasheria wa...
10 years ago
GPLCHENGE AZIDI KUHOJIWA SAKATA LA ESCROW!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
SAKATA LA ESCROW: ANDREW CHENGE AMEKATAA KUHOJIWA NA BARAZA LA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Chenge kuhojiwa na Baraza la Maadili leo
10 years ago
StarTV26 Feb
Chenge agoma kuhojiwa Baraza la Maadili ya Umma.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam
Mbunge wa Bariadi Magharibi, CCM, Andrew Chenge amegoma kuhojiwa na Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyomwita kwa mahojiano dhidi ya tuhuma zinazomkabili za kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma, baada ya kuwasilisha hoja ya kutaka kusimamishwa kwa mahojiano hayo, kwa kuwa suala hilo liko Mahakamani.
Kwa mujibu wa Hati ya Malalamiko iliyotolewa na Sekretarieti ya Maadili ya Umma, Chenge anakabiliwa na Makosa ya...
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Chenge agonga mwamba escrow
10 years ago
Mwananchi07 Mar
Staili ya Chenge escrow yanoga
10 years ago
Mtanzania07 Jan
Kashfa ya Escrow yamng’oa Chenge rasmi
Na Fredy Azzah, Dar Es Salaam
WAKATI Watanzania wakisubiri hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ambaye Rais Jakaya Kikwete alisema anamuweka kiporo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge, ametangaza rasmi kuachia nafasi hiyo.
Bunge lililopita baada ya kujadili ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu miamala...
10 years ago
TheCitizen30 Dec
Prosecute Chenge, Ngeleja over escrow saga: activists