STARS WALIVYOTUA DAR KUTOKA CHALLENGE KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/mWq-Pv8RWzR*69Rg-H75gij4aD7GnIALcXOrjJRb7MtOKOaMByuT1XFIweAfLoJeg4KPH7WdpYRxsMMEvxOzwZjy0oRmhjms/1.jpg?width=650)
Wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars', Himid Mao mbele na Elias Maguri nyuma wakiteremka kwenye ndege ya RwandaAir baada ya kufika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni ya jana wakitokea Nairobi, Kenya walikokuwa wakishiriki Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge ambako walishika nafasi ya nne, huku wenyeji, Kenya 'Harambee Stars' wakitwaa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
Kili Stars yaanza vizuri Cecafa Senior Challenge, yaikamua Somalia, bingwa mtetezi Kenya nae aipa kipigo Uganda!
Kikosi cha Kilimanjaro Stars..
Na Rabi Hume, Modewji blog
Timu inayowakilisha Tanzania bara katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge, Kilimanjaro Stars jana imeanza vyema mashindano hayo kwa kuifunga timu ya taifa ya Somalia kipigo cha goli 4 kwa bila.
Katika mchezo huo ambao Kili Stars ilionekana kutawala kwa kipindi kirefu ilifanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 11 kupitia kwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco kwa njia ya mkwaju wa penati.
Goli la pili lilifungwa na Elias...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFKOi6R2zrvq7E89SS6kUgSdyf-fyVTJjgwUqPMNprSrBnBalOQaslTrlzGlN3clNpeQ3oxY*07zewMsLYC*tsyl/1REALMADRID2.jpg?width=650)
MASTAA WA REAL MADRID WALIVYOTUA JIJINI DAR
10 years ago
CloudsFM15 Jan
SIMBA SC WALIVYOTUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI
KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la Mapinduzi Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kiliwasili jijini Dar jana kikitokea Mjini Zanzibar.
9 years ago
TheCitizen23 Nov
Kili Stars off to a winning start in Challenge Cup
9 years ago
Bongo523 Oct
Picha: Vanessa Mdee atumbuiza live kupitia Citizen TV ya Kenya kutoka Dar
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80303000/jpg/_80303976_img_7914.jpg)
AUDIO: Sauti Sol on Kenya's musical challenge
10 years ago
Bongo527 Aug
Ice Bucket Challenge: Huyu ni msanii wa Kenya aliyetupa karata yake (Video)
10 years ago
GPLDIAMOND NA ZARI WALIVYOTUA NCHINI BURUNDI
10 years ago
TheCitizen26 Aug
Dar golfers take aim at EA Challenge