Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Steps Kutoa Hizi Mbili Kumuenzi Kanumba

Kampuni kubwa ya usambazaji wa filamu, Steps Entertainment hivi karibuni itatoa filamu mbili za marehemu Steven Charles Kanumba kwa lengo la kumuenzi nyota huyo wa filamu.

Filamu hizo ni YAMENIKUTA ambayo inatoka mwezi huu wa tatu mwishoni pamoja na RIZIKI inayotarajia kutoka mwezi ujao siku chache kabla ya kufikia siku ya kumbukumbu ya kifo chake

Wadau tukae mkao wa kula.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA: SITAACHA KUMUENZI MWANANGU!

Mama mzazi wa aliyekuwa muigizaji maarufu nchini, Marehemu Steven Charles Kanumba, Flora Mtegoha, 'Mama Kanumba'. BAADA ya jina la aliyekuwa msanii nguli wa filamu Tanzania, Marehemu Steven Kanumba, kuonekana kupotea taratibu, mama mzazi wa msanii huyo, Flora Mtegoha amefunguka kuwa hataacha kumuenzi mwanaye siku zote za maisha yake. Akipiga stori na Amani, mama Kanumba alisema kuwa japokuwa watu wataendelea kumsahau mwanaye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PHD aungana na Wazambia kumuenzi Kanumba

STAA wa filamu, Hemed Suleiman ‘PHD’ amerejea nchini juzi akitokea Zambia alikokuwa akitengeneza filamu na wasanii wa huko kwa ajili ya kumuenzi nguli wa filamu za Bongo, marehemu Steven Kanumba....

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA KUMUENZI MAREHEMU STEVIN KANUMBA KUZINDULIWA APRIL 7, 2014 JIJINI DAR

Uzinduzi wa taasisi ya marehemu Steven Kanumba ijulikanayo  kwa jina la Kanumba The Great Foundation utafanyika Aprili 7 kwenye ukumbi maarufu wa Dar Live uliopo Mbagala, jijini.
 Uzinduzi huo utaenda sambamba na maadhimisho ya miaka miwili tokea kufariki kwa marehemu Kanumba ambaye alifariki dunia Aprili 7.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mama mzazi wa marehemu Kanumba, Flora Mtegoa alisema kuwa wameamua  kuanzisha taasisi hiyo ili kuendelea kumuenzi mtoto wake na kuendeleza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Rachel: Sio JB pekee, Hizi ni baadhi ya Filamu za Marehemu Kanumba na Ray walizokopi Stori Mpaka Majina

Mcheza filamu za kibongo ambae pia ni muigiazaji wa michezo ya kuigiza kupitia kituo cha televisheni cha Chanel Ten, Rachel Silvestar  amesma anashangazwa na baadhi ya watu kumchukulia vibaya muogizaji mkongwe JB baada ya kuonekana amekopi filamu ya kihindi na kuiita mzee wa swaga wakati hicho kitendo ni cha kawaida kwenye sanaa duniani na JB sio mtu wa kwanza kukupi filamu za nje

Amesema wasanii wakubwa pia kama marehemu Kanumba na Ray nao wamewahi kukopi filamu za nje tena mpaka majina...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"

Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.

Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.

Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...

 

10 years ago

Vijimambo

CHEZEA USINGIZI WEWE PITIA HIZI PICHA MBILI NA JIPE JIBU MWENYEWE

Usijiulize alifikaje hapa juu jibu ni usingizi ndiyo mpango mzima ukifika tu basi aijalishi upo wapi.Huyu nae akikua sijuhi atakuwa fundi viatu au?, usingizi kweli siyo mchezo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani