Stiff competition hits Tanga Cement profit
>Group profit of Tanga Cement Company Ltd (TCCL) declined by about 18 per cent in the first six months ending 30th June 2014 as the firm reports increased competition and influx of imported cement.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen02 Aug
Competition stiff in primaries
Results of CCM primaries showed stiff competition in many areas although in some places outgoing MPs maintained early leads.
10 years ago
MichuziTanga Cement MD Appointed East Africa Cement Producers Association Tanzania Chair
The East Africa Cement Producers Association (EACPA) has appointed Reinhardt Swart the Managing Director of Tanga Cement Company the chair of its Tanzanian chapter, with effect from 1 August 2015 for the next three years.
The East Africa Cement Producers Association (EACPA) brings together cement manufacturing companies from Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda and Burundi. EACPA TZ is a chapter of the East Africa Association which includes Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, and Tanzania. EACPA...
The East Africa Cement Producers Association (EACPA) brings together cement manufacturing companies from Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda and Burundi. EACPA TZ is a chapter of the East Africa Association which includes Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, and Tanzania. EACPA...
5 years ago
MichuziTANGA CEMENT (PLC) WATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID -19 TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akipokea msaada wa vifaa kinga kwa ajili ya kusaidia mapambano ya virusi vya Covid 19 kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na Jeshi la Polisi Mkoa huo kutoka kwa Mtendaji Mkazi wa Kiwanda cha Tanga Saruji cha Cement PLC Mhandisi Benedict Lema kushoto wanaoshuhudia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari kulia na kushoto Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Blasius Chatanda
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akipokea msaada wa...
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA TANGA CEMENT WAFANYA USAFI SOKO KUU LA MJINI TANGA LA NGAMIANI
Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Diana Malambugi (kulia) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakifanya usafi katika Soko Kuu la Mji wa Tanga la Ngamiani mjini humo leo, kuadhimisha Siku ya Uhuru iliyodhimishwa kwa watanzania wote kujishughulisha na shuhuli za usafi wa mazingira. Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga, wakifanya usafi katika Soko Kuu la Mji wa Tanga la Ngamiani mjini humo jana kuadhimisha Siku ya Uhuru ambayo watanzania nchini kote...
5 years ago
MichuziRC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA
Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...
10 years ago
MichuziWafanyakazi Wanawake wa Tanga Cement Walivyosherehekea Siku ya Wanawake Duniani mjini Tanga
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Tanga Cement Plc, Reinhardt Swart (kushoto) akimpa zawadi mhandisi mwanamke kijana katika kampuni hiyo, Irene Lema katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga. Kaimu Ofisa Fedha Mkuu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Unguu Sulay (kulia) akimpa zawadi mfanyakazi mwanamke hodari na mwenye mfano wa kuigwa wa kampuni hiyo, Rosemary Kashaga Juma katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake...
11 years ago
TheCitizen01 May
Samsung net profit hits $7bn in 1st quarter
Samsung Electronics reported Tuesday its net profit had risen 5.9 percent year-on-year in the first quarter to 7.57 trillion won ($7.3 billion) but operating profit declined for the second straight quarter on slowing smartphone revenue.
11 years ago
TheCitizen30 Jan
Kili meet gets Tanga Cement support
The 2014 Kilimanjaro Marathon has received yet another boost after Tanga Cement Company Limited (TCCL) came forward to sponsor the annual event set for March 2 in Moshi.
10 years ago
MichuziTwiga Cement Watoa somo kwa watengeneza matofali Tanga
Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Simon Delens (kushoto), akizungumza katika semina ya utengenezaji wa matofali iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni Mhandisi Emmanuel Owoya na Meneja Usambazaji, Tumaini Joseph. Mkurugenzi wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania