Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sudan Kusini yaahirisha uchaguzi mkuu

Sudan Kusini imeahirisha uchaguzi wake uliotarajiwa kufanyika mwaka ujao ili kutoa fursa kwa pande zinazozozana kufikia makubaliano ya amani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Afisaa mkuu wa UN azuru Sudan Kusini

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la haki za binadamu, Navi Pillay yuko nchini Sudan Kusini kutathmini hali huko baada ya miezi minne ya mzozo .

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa majeshi afutwa kazi Sudan.Kusini

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemfuta kazi mkuu wa majeshi yake Generali James Hoth Mai bila ya kutoa sababu yoyote

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi yaahirisha uchaguzi wa wabunge

Serikali ya Burundi yaahirisha uchaguzi wa wabunge uliotarajiwa kufanyika Ijumaa wiki hii

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. SLAA, AENDELEA NA ZIARA YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, APIGA DEBE WANANCHI KUJIANDIKISHA TAYARI KWA UCHAGUZI MKUU

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilibrod Slaa, akiwasalimia wanachama, wapenzi, wafuasi na mashabiki wa chama hicho, wakati akiwasili katika ofisi za wilaya za chama mjini Mpanda, mkoani Katavi akiwa katika mwendelezo wa ziara yake maeneo mbalimbali ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi ambako mbali ya kukagua zoezi la uandikishaji wa wapiga kura amekuwa akihamasisha wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu huku pia akikagua...

 

10 years ago

Vijimambo

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe ya kufana iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ngurdoto, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.

Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...

 

10 years ago

Michuzi

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza utiaji wa saini. Kutoka kulia ni  Mhe. Salva Kiir Mayardit  Rais wa Sudan Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa SPLM na anayeongoza kundi linalojulikana kama SPLM in Government (SPLM-IG), Mhe Dkt. Riek Machar ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa SPLM na pia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini anayeongoza kundi la SPLM in Opposition (SPLM-IO) na Dkt. Deng Alor Kuol ambaye anaongoza kundi la SPLM Leaders- Former Detainees (SPLM Leaders – FD). Nyuma yao ni...

 

10 years ago

Michuzi

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL,afanya ziara mikoa ya kusini na Nyanda za juu kusini

Afisa Mtendaji Mkuu Dr Kamugisha Kazaura atembelea mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Mbeya ikiwa na lengo la kukagua miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na kuzungumza na wafanyakazi wa TTCL wa mikoa hiyo.
Dr Kazaura ailijionea juhudi mbalimbali zinazofanywa na wafanyakazi wa TTCL katika kuhakikisha miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano inakuwa salama muda.
Hivi sasa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imekuwa kampuni pekee ya mawasiliano ambayo imefanikiwa...

 

10 years ago

GPL

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati  Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya…
...

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015

11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o

Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.

11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o

Vifaa mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani