Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUGE KNIGHT ASHITAKIWA KWA MAUAJI NCHINI MAREKANI

Suge Knight. ALIYEKUWA mwanamuziki wa Rap nchini Marekani, Marion "Suge" Knight ameshitakiwa kwa mauaji na jaribio la kutaka kuua baada ya kumgonga mtu mmoja na gari lake hadi kumuua na baadaye kutoroka. Eneo la Compton, Los Angeles ambapo Suge Knight aligonga mtu na kukimbia. Iwapo itathibitika kuwa alifanya makosa hayo, Suge anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela. Polisi wanasema kuwa Knight alijibizana na watu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SUGE KNIGHT MATATANI TENA, ASHITAKIWA KWA MAUAJI

Eneo la Compton, Los Angeles ambapo Suge Knight aligonga mtu na kukimbia.
ALIYEKUWA mwanamuziki wa Rap nchini Marekani, Marion "Suge" Knight ameshitakiwa kwa mauaji na jaribio la kutaka kuua baada ya kumgonga mtu mmoja na gari lake hadi kumuua na baadaye kutoroka.

Iwapo itathibitika kuwa alifanya makosa hayo, Suge anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela.

Polisi wanasema kuwa Knight alijibizana na watu wawili wiki iliyopita katika eneo la kuegesha magari huko Compton, Los Angeles na baadaye...

 

10 years ago

GPL

MSANII WA MAREKANI SUGE KNIGHT AKAMATWA KWA MAUAJI

Msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight. Polisi nchini Los Angeles inasema kuwa msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight amekamatwa kutokana na mashtaka ya mauaji baada ya kumgonga mtu mmoja na gari lake hadi kumuua na baadaye kutoroka. Polisi wanasema kuwa Knight alijibizana na watu wawili katika eneo la kuegesha magari na baadaye kumgonga mmoja wao huku mwengine akijeruhiwa vibaya. Wakili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Msanii Suge Knight akamatwa kwa mauaji

Polisi nchini Los Angeles inasema kuwa msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight amekamatwa kutokana na mauaji

 

10 years ago

Bongo5

Mwanzilishi wa Death Row Records, Suge Knight ashtakiwa kwa mauaji

Mwanzilishi wa Death Row Records, Suge Knight ameshtakiwa kwa kuhusika na mauaji na pia kujaribu kuua baada ya kuwagonga kwa gari watu wawili kufuatia majibizano huko Compton wiki iliyopita. Anaweza kufungwa kifungo cha maisha kama akipatikana na hatia. Mashtaka rasmi yamekuja baada ya dhamana yake ya dola milioni 2.2 kukataliwa. Knight, 49, anashtakiwa kwa kuwagonga […]

 

10 years ago

GPL

CHRIS BROWN ANUSURIKA KIFO, SUGE KNIGHT AKIJERUHIWA KWA RISASI

Cris Brown akiwa Klabu 1OAK kabla ya vurugu kutokea. Prodyuza mkongwe, Suge Knight amejeruhiwa tumboni na mkononi katika shambulio hilo. MWIMBAJI Cris Brown amenusurika kuuawa katika shambulio la risasi ndani ya klabu ya usiku jijini Los Angeles ambapo prodyuza Suge Knight amejeruhiwa. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika klabu ya usiku iitwayo 1OAK iliyopo magharibi mwa Hollywood wakati wa… ...

 

10 years ago

GPL

SUGE KNIGHT AANGUKA MAHAKAMANI BAADA YA KUTAKIWA KUTOA SHILINGI BILIONI 45 KWA AJILI YA DHAMANA

Suge Knight akiwa mahakamani. Mwanzilishi wa Label ya Death Row, Mario "Suge" Knight jana alianguka mahakamani baada ya jaji kumtaka atoe dola milioni 25 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 45 za Kitanzania kwaajili ya dhamana kwenye kesi yake ya mauaji, kiwango ambacho wakili wake amesema ni kikubwa mno. Wakili wa Suge, alisema mteja wake hawezi kumudu kulipa kiasi hicho cha fedha ambacho Suge aliishiwa nguvu na kuanguka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Suge Knight aanguka mahakamani

Mahakama imemuachilia kwa dhamana ya dola millioni 25 msanii wa muziki wa rap Suge Knight ,ambaye aliwagonga wanaume wawili

 

10 years ago

GPL

SUGE KNIGHT ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

Prodyuza Suge Knight wakati akiwasili katika klabu ya usiku ya 1Oak ambapo baadaye alishambuliwa kwa kuigwa risasi 6. PRODYUZA Suge Knight ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Cedars-Sinai, Los Angeles nchini Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika klabu ya usiku ya 1Oak kwenye pati ya utangulizi wa utoaji Tuzo za VMA Jumamosi usiku. Mmoja wa majeruhi katika shambulio hilo akipatiwa huduma ya… ...

 

10 years ago

Vijimambo

SUGE KNIGHT ITABIDI ASUBIRI MAYWEATHER ASHINDE PAMBANO LAKE NDIYO ASAHIDIWE PESA YA DHAMANA

Lawyer wa Suge Knight Matthew Fletcher alimchekesha Suge Mahakamani baada ya kumwambia kuwa kutokana na masharti ya dhamana kuwa kubwa kuanzaia  Dollar Mill 10 hadi Mill 5 itabidi asubiri tu hadi Mayweather akishinda pambano lake na Manny Pacquiao jumamosi atakuja kumdhamini. Mayweather atavuna Dollar Mill 420 kwenye mtifuano huo unaosubiriwa na wapenzi wa ngumi duniani kote hiyo siku ya jumamos tarehe 2 ndani ya jiji la Las Vegas. Suge Knight anakabiriwa na kesi ya kuua toka mwezi wa kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani