Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUGE KNIGHT ITABIDI ASUBIRI MAYWEATHER ASHINDE PAMBANO LAKE NDIYO ASAHIDIWE PESA YA DHAMANA

Lawyer wa Suge Knight Matthew Fletcher alimchekesha Suge Mahakamani baada ya kumwambia kuwa kutokana na masharti ya dhamana kuwa kubwa kuanzaia  Dollar Mill 10 hadi Mill 5 itabidi asubiri tu hadi Mayweather akishinda pambano lake na Manny Pacquiao jumamosi atakuja kumdhamini. Mayweather atavuna Dollar Mill 420 kwenye mtifuano huo unaosubiriwa na wapenzi wa ngumi duniani kote hiyo siku ya jumamos tarehe 2 ndani ya jiji la Las Vegas. Suge Knight anakabiriwa na kesi ya kuua toka mwezi wa kwanza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SUGE KNIGHT AANGUKA MAHAKAMANI BAADA YA KUTAKIWA KUTOA SHILINGI BILIONI 45 KWA AJILI YA DHAMANA

Suge Knight akiwa mahakamani. Mwanzilishi wa Label ya Death Row, Mario "Suge" Knight jana alianguka mahakamani baada ya jaji kumtaka atoe dola milioni 25 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 45 za Kitanzania kwaajili ya dhamana kwenye kesi yake ya mauaji, kiwango ambacho wakili wake amesema ni kikubwa mno. Wakili wa Suge, alisema mteja wake hawezi kumudu kulipa kiasi hicho cha fedha ambacho Suge aliishiwa nguvu na kuanguka...

 

10 years ago

Bongo5

Usikie wimbo wa Pacquiao atakaoingia nao siku ya pambano lake na Mayweather

Manny Pacquiao hataki kuingia na wimbo wa msanii mwingine siku atakayopanda ulingoni kuzichapa na Floyd Mayweather. Bondia huyo wa Ufilipino ametunga wimbo wake mwenyewe. Wimbo huo alioimba kwa hisia kali unawatia moyo moyo wafilipino waishio katika maisha magumu. Pambano lao litapigwa May 2 jijini Las Vegas.

 

10 years ago

GPL

PACQUIAO AJICHUA VIKALI KUELEKEA PAMBANO LAKE LA KARNE DHIDI YA MAYWEATHER

Manny Pacquiao akijiandaa na pambano lake dhidi ya Floyd Mayweather. Maandalizi yakiwa yamepamba moto kwenye gym ya masumbwi ya Wild Card iliyopo Los Angeles nchini Marekani. BONDIA mahiri kutoka Ufilipino, Manny Pacquiao ameendelea kujichua vikali katika gym ya masumbwi ya Wild Card iliyopo Los Angeles nchini Marekani. Pacquiao anajiandaa na pambano lake kali dhidi ya… ...

 

10 years ago

GPL

MANNY PACQUIAO ATUA LAS VEGAS TAYARI KWA PAMBANO LAKE LA KIHISTORIA DHIDI YA FLOYD MAYWEATHER

Manny Pacquiao akiwasalimia mashabiki wake waliofika kumpokea alipowasili katika Hoteli ya Mandalay Bay jijini Las Vegas jana usiku. Basi lililobeba wageni na timu ya walimu wa mafunzo wa Pacquiao likielekea Las Vegas jana mchana. Pacquiao akiwa amembeba mwanaye aitwaye Israel baada ya kushuka kwenye basi lake.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Suge Knight aanguka mahakamani

Mahakama imemuachilia kwa dhamana ya dola millioni 25 msanii wa muziki wa rap Suge Knight ,ambaye aliwagonga wanaume wawili

 

10 years ago

GPL

SUGE KNIGHT ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

Prodyuza Suge Knight wakati akiwasili katika klabu ya usiku ya 1Oak ambapo baadaye alishambuliwa kwa kuigwa risasi 6. PRODYUZA Suge Knight ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Cedars-Sinai, Los Angeles nchini Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika klabu ya usiku ya 1Oak kwenye pati ya utangulizi wa utoaji Tuzo za VMA Jumamosi usiku. Mmoja wa majeruhi katika shambulio hilo akipatiwa huduma ya… ...

 

9 years ago

Vijimambo

PAMBANO HILI NI LEO USIKU LAKINI LINAONEKANA KUDODA SIYO KAMA PAMBANO LILILOPITA MAYWEATHER NA PAC.



Je,unamshabikia nani katika pigano la kesho kati ya bingwa wa ndondi duniani uzani wa welter Floyd Mayweather na Andre Berto?

 

10 years ago

BBCSwahili

Msanii Suge Knight akamatwa kwa mauaji

Polisi nchini Los Angeles inasema kuwa msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight amekamatwa kutokana na mauaji

 

10 years ago

GPL

MSANII WA MAREKANI SUGE KNIGHT AKAMATWA KWA MAUAJI

Msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight. Polisi nchini Los Angeles inasema kuwa msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight amekamatwa kutokana na mashtaka ya mauaji baada ya kumgonga mtu mmoja na gari lake hadi kumuua na baadaye kutoroka. Polisi wanasema kuwa Knight alijibizana na watu wawili katika eneo la kuegesha magari na baadaye kumgonga mmoja wao huku mwengine akijeruhiwa vibaya. Wakili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani