Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUGU AKIMBIWA NA MADIWANI 11, DK BASHIRU AWAPOKEA KWA KISHINDO DODOMA

Charles James, Michuzi TV
WAMEKIMBIA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya lundo la madiwani 11 wa Jiji la Mbeya wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Madiwani hao 11 wakiongozwa na Meya wa Jiji hilo, David Mwashilindi na Katibu wa Wilaya wa Chadema wametangaza kuhamia CCM leo jijini Dodoma na kupokelewa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dk Bashiru Ally.
Akizungumza baada ya kuwapokea kwenye ukumbi wa Jakaya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DKT. BASHIRU AFAFANUA UKOMO WA WABUNGE, WAWAKILISHI NA MADIWANI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally leo tarehe 21 Juni, 2020 ameongoza mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na watumishi wa Makao Makuu, ambapo ametumia fursa hiyo kutoa ufafanuzi wa ukomo wa wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM.

Pamoja na mambo mengine, akifafanua suala hilo, Katibu Mkuu ameeleza kuwa ni vema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM wakaachwa waendelee kutekeleza majukumu yao kikatiba ikiwa ni pamoja na kuwa wajumbe wa vikao mbalimbali kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dodoma yatinga fainali kwa kishindo

Dodoma imeiduwaza Kigoma baada ya kuichapa mabao 2-1 na kufanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Copa-Coca-Cola jana kwenye Uwanja wa Karuma, Dar es Salaam.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AIMALIZA IRINGA, AIANZA DODOMA KWA KISHINDO

Mafuriko ya wananchi katika Kijiji cha Mvumi, Jimbo la Mtera yakimsiliza Magufuli alipokuwa akimwaga sera. Magufuli…

 

10 years ago

GPL

AKIMBIWA NA MUME KWA KUZAA MLEMAVU

Stori: MAYASA MARIWATA
DUNIA HAINA HURUMA! Mwanamama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sarah Lyimo,  mkazi wa Buza Mwang’ati jijini Dar es Salaam amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya mumewe aitwaye  Mohammedi kumkimbia baada ya kile alichodai kuwa na mtoto mwenye ulemavu. Sarah Lyimo akiwa na watoto wake. Akizungumza na mwandishi wetu wiki iliyopita  kuelezea mkasa mzima wa kutelekezwa  kwake, Sarah...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENEDELEA KUJITAMBULISHA NA KUWASHUKURU WANACHI WA CHATO MPAKA DODOMA KWA KISHINDO.

   Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa  furaha kubwa Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wananchi hao akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kujitambulisha kwa Wananchi ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita...

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WILAYANI KARAGWE WAANDAMANA KUMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KURUHUSU IBAADA DC AWAPOKEA KWA NIABA YAKE NA KUTOA NENO.

 Viongozi wa dini wilayani Karagwe wakiwa kwenye maandamanoViongozi wa madhehebu  ya Dini wilayani Karagwe wakimsikiliza mkuu wa wilaya baada ya kumaliza maandamano yao.
 Askofu Almachius Rweyongeza mwenye kanzu nyeupe pamoja na viongozi wengine wa dini wakiongea na viongozi wenzao wa dini.Askofu Almachius Rweyongeza kulia akiongea na viongozi wenzake wa dini baada ya kupokea maandamano ya Amani yaliyolenga kumshukuru Rais Magufuli kwa kutofunga nyumba za ibaada na kuwaruhusu watanzania...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS DK. SHEIN, MANGULA NA DK. BASHIRU ALLY, IKULU YA CHAMWINO, DODOMA, LEO

Rais Dk. Magufuli akiwa na Rais Dk. Shein. (Picha ya Maktaba)
Dk.CHAMW, Dodoma
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli amekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein katika kikao cha ndani kilichofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma, leo.

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally ambapo viongozi hao wamezungumzia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani