Suleiman Yusuf Koore: Bawabu aliyefanikiwa kuwa waziri katika ofisi aliyolinda Somalia
Katika mfumo wa kisiasa nchini Somalia, ni vigumu kwa mtu wa tabaka la chini kupata mafanikio makubwa na kupanda ngazi kisiasa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXR*1R*5SoNO0yzVbQFaS9xSnfhFmki9uSiA1yW8TAUq9z1Is5NtvQlvILUQj4qkLgD8y5k*3L2iosVW43BG4scd/GaariXildhibaanoLaXabadeedey.jpg)
MBUNGE WA SOMALIA, YUSUF DIRIR AUAWA KATIKA SHAMBULIO MOGADISHU
Gari alilokuwemo Yusuf Dirir. MBUNGE wa Somalia, Yusuf Dirir ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji wa Mogadishu jana.
Wanausalama wameeleza kuwa Yusuf Dirir aliuawa baada ya gari lake kushambuliwa na wanamgambo wanaodhaniwa kuwa wa Kundi la Al Shabaab. Wapiganaji wa Al Shabaab. Wafanyakazi wengine watatu wa Wizara ya Usafirishaji nao pia waliuawa katika shambulio lingine lililotokea jana.
Takribani wabunge watano waliuawa na...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Don Jazzy: Mlinzi aliyefanikiwa kuwa maarufu Afrika
Unapozungumzia watayarishaji wa muziki wanaofanya vizuri kwa sasa barani Afrika lazima jina la Don Jazzy litakuwa kwenye orodha hiyo.
10 years ago
VijimamboWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe Jenista Mhagama afanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia
Mhe Jenista Mhagama tarehe 21 April 2015 alifanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia. Dhumuni ya ziara hiyo ilikuwa kujifunza taratibu na mambo mbali mbali yanayohusiana na Bunge la Zambia. Katika ziara hiyo Mhe Waziri aliongozana na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Balozi Grace J. Mujuma.
Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma wakipewa maelezo na Spika wa Bunge la Zambia Jaji, Dkt. Patrick Matibini (hayupo pichani)
Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma...
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-18ak69GwNsQ/UtZauR1ya5I/AAAAAAAFHAU/0JPadsUnEmk/s1600/D92A7518.jpg)
RAIS JK AWAJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA NA WAZIRI HAROUN ALI SULEIMAN
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Msaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jijini Dar es Salaam. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Waziri wa nchi Afisi ya Rais Kazi…
10 years ago
MichuziWIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-z_ItzeMshcY/U2l-N5pUTNI/AAAAAAAFgAo/ChuDAnd8OyY/s72-c/download.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania