Don Jazzy: Mlinzi aliyefanikiwa kuwa maarufu Afrika
Unapozungumzia watayarishaji wa muziki wanaofanya vizuri kwa sasa barani Afrika lazima jina la Don Jazzy litakuwa kwenye orodha hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo513 Oct
Music: Timaya Ft Don Jazzy — I Concur
9 years ago
Bongo519 Sep
Videp: Tolu Ft. Don Jazzy — iFemi
10 years ago
Bongo524 Feb
New Video: P-Square ft. Don Jazzy — Collabo
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff1ijmTcNHJ5jphfotM7SqS7swWn3kPbEqzcD8sHiuP7ZCs8J8e2*gCUAGSJxOUztiSqD5pQOWGb-96VfeU-6cFj/DONJAZZY11.jpg?width=650)
DON JAZZY KUJA NA TAMASHA LA MAVIN RECORDS
9 years ago
Bongo517 Oct
Video: Timaya Feat. Don Jazzy — I Concur
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Dbanji-na-Don-jaz.png)
D'BANJ AFURAHISHWA NA KOLABO YA DON JAZZY
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Olamide na Don Jazzy wamaliza bifu lao kimyakimya
Don Jazzy na Olamide wakipeana mikono.
HABARI ya ‘mujini’ mwaka huu kwa wapenda muziki nchini Nigeria na kwengineko duniani ni kumalizika kwa bifu la muda mrefu kati ya maprodyuza wakubwa, Olamide na Don Jazzy. Baada ya wawili hao kutokea katika picha wakiwa wameshikana mikono, mashabiki wamebaki kujiuliza ni wapi walipolimalizia ugomvi wao wa muda mrefu?.
Katika picha hiyo kulikuwa na maandishi yaliyowaomba msamaha mashabiki wao kwa bifu lililokuwepo na kwamba wajibu wao ni kuongoza...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Aliko Dangote alivyomaliza ugomvi wa Don Jazzy na Olamide
Olamide akipeana mkono na Don Jazzy.
DURU za muziki hivi sasa zinafahamu kwamba bifu lililokuwepo kati ya wasanii, Olamide na Don Jazzy, wote wa Nigeria, ambalo lilianzia katika tamasha la utoaji tuzo la Headies Award, ambapo mshindi wa jumla hujinyakulia gari, hivi sasa limemalizika.
Ugomvi huo uliokuwa wa maneno, ulikolezwa na kituo cha televisheni cha Live International na kusambaa hadi kwenye mtandao wa Twitter.
Hata hivyo, swali kubwa ambalo mashabiki walikuwa wakijiuliza ni kwamba:...