Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye: Nimeanza kutishwa

frederick-sumaye*Lowassa atumia mahakama ya wananchi kuchagua mbunge

 

Na Fredy Azzah, Masasi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema ameanza kupata vitisho baada ya kuzungumza mambo mbalimbali ya Serikali katika kampeni za mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa.

Akizungumza jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Viwanja vya Madeko, Jimbo la Ndanda wilayani Masasi mkoani Mtwara, Sumaye alisema vitisho hivyo ni pamoja na kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Membe: Watanzania wasikubali kutishwa

1

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofika mjini Kigoma jana, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.(Picha na John Badi).

1a

2

Na Mwandishi wetu, Kigoma

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, haviwezi kutishwa na mtu yeyote katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda: Nimeanza mbio za urais

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amefanya kile alichokifanya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, kwa kutangaza nia ya kuwania urais mwaka 2015, akiwa jijini London nchini Uingereza. Pinda...

 

11 years ago

GPL

SASA NIMEANZA KUWA NA SHAKA NA BATULI!

KWAKO, Msanii wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Pole na mihangaiko ya  kujitafutia mkate wa kila siku. Naamini mishemishe zako zipo poa. Kwa upande wangu mimi naendelea vizuri. Naamini sijawahi kukuandikia barua hata mara moja, lakini nimeona ni vyema tuwasiliane kwa njia hii. Lengo la kukuandikia barua hii ni kwa ajili ya kukuweka sawa, maana naona kama njia unayoanza kupita siyo! Wenyewe wamekataza! Kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Waliopiga kura ya hapana walalamika kutishwa

>Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba waliopiga kura za hapana wamelazimika kuondoka Dodoma na kurudi Zanzibar kwa madai ya vitisho walivyopata kutoka kwa wenzao.

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa: Nimeanza safari yenye matumaini

Edward lowassaMBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amesema ameanza safari yake jana yenye matumaini makubwa kwa Watanzania, lakini yenye vikwazo vingi, ingawa anasema ana uhakika wa kufika na kushinda.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mama Kanumba:Nimeanza Kuigiza Toka Nilipokuwa Sekondari!!

Akizungumzia kipaji chake cha uigizaji, Flora Mtegoa “Mama Kanumba” alisema hakufanya hivyo baada ya mwanaye kufariki, bali alikuwa akiigiza wakati alipokuwa kigori, hivyo ameamua kuendeleza kipaji chake.

“Nikiwa sekondari niliigiza, wakati huo mtoto wa kike kupelekwa shule mpaka vikao, zamani binti hakuruhusiwa kusoma, ilikuwa ngumu, kwa hiyo unacheza huku ukifikiria kwamba nyumbani wakijua nimeingia huku itakuwa tatizo, baadaye nikaacha,” alisema.

Alisema baada ya Kanumba kufariki,...

 

11 years ago

Mwananchi

Tegete: Subirini, ndiyo kwanza nimeanza kazi Yanga

Kazi imeanza kwa mshambuliaji Jerryson Tegete ambaye baada ya kuitungua Stand United ya hapa kwa mabao mawili, Jumamosi ameeleza kuwa hakuna kulala.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE APATA WADHAMINI KIGOMA AWATAKA Watanzania wasikubali kutishwa

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, haviwezi kutishwa na mtu yeyote katika kutekeleza maamuzi yoyote kutokana na kuwa na historia ya kuwa na msimamo usioyumba na uongozi thabiti. Membe ambaye ni miongoni mwa wana CCM waliotangaza nia ya kuwania urais kupitia chama hicho, amesema yeye binafsi hatokuwa na kinyongo kwa maamuzi yoyote yatakayochukuliwa na chama hicho hata ikiwa yatakuwa maamuzi machungu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani