SASA NIMEANZA KUWA NA SHAKA NA BATULI!

KWAKO, Msanii wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Pole na mihangaiko ya kujitafutia mkate wa kila siku. Naamini mishemishe zako zipo poa. Kwa upande wangu mimi naendelea vizuri. Naamini sijawahi kukuandikia barua hata mara moja, lakini nimeona ni vyema tuwasiliane kwa njia hii. Lengo la kukuandikia barua hii ni kwa ajili ya kukuweka sawa, maana naona kama njia unayoanza kupita siyo! Wenyewe wamekataza! Kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Sumaye: Nimeanza kutishwa
*Lowassa atumia mahakama ya wananchi kuchagua mbunge
Na Fredy Azzah, Masasi
WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema ameanza kupata vitisho baada ya kuzungumza mambo mbalimbali ya Serikali katika kampeni za mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa.
Akizungumza jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Viwanja vya Madeko, Jimbo la Ndanda wilayani Masasi mkoani Mtwara, Sumaye alisema vitisho hivyo ni pamoja na kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape...
11 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Pinda: Nimeanza mbio za urais
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amefanya kile alichokifanya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, kwa kutangaza nia ya kuwania urais mwaka 2015, akiwa jijini London nchini Uingereza. Pinda...
11 years ago
Habarileo02 Jan
Lowassa: Nimeanza safari yenye matumaini
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amesema ameanza safari yake jana yenye matumaini makubwa kwa Watanzania, lakini yenye vikwazo vingi, ingawa anasema ana uhakika wa kufika na kushinda.
11 years ago
Mwananchi28 Oct
Tegete: Subirini, ndiyo kwanza nimeanza kazi Yanga
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
Mama Kanumba:Nimeanza Kuigiza Toka Nilipokuwa Sekondari!!
Akizungumzia kipaji chake cha uigizaji, Flora Mtegoa “Mama Kanumba” alisema hakufanya hivyo baada ya mwanaye kufariki, bali alikuwa akiigiza wakati alipokuwa kigori, hivyo ameamua kuendeleza kipaji chake.
“Nikiwa sekondari niliigiza, wakati huo mtoto wa kike kupelekwa shule mpaka vikao, zamani binti hakuruhusiwa kusoma, ilikuwa ngumu, kwa hiyo unacheza huku ukifikiria kwamba nyumbani wakijua nimeingia huku itakuwa tatizo, baadaye nikaacha,” alisema.
Alisema baada ya Kanumba kufariki,...
11 years ago
Habarileo15 Apr
Mvua sasa kuwa za wastani
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema mvua zitakazoendelea kunyesha kwa sasa ni za kiasi. Wakati TMA ikitoa taarifa hiyo jana, usafiri wa mabasi yaendayo mikoani kutoka jijini Dar es Salaam jana uliendelea kuwa mgumu.
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Wanawake sasa kuwa maaskofu - Anglikana
10 years ago
Habarileo22 Jun
Mchakato ajira sasa kuwa kielektroniki
SERIKALI imesema ifikapo Juni Mosi mwaka huu itaanza kutumia rasmi mfumo wa kielektroniki katika mchakato wa kuajiri watumishi wa umma.
11 years ago
Mwananchi12 Sep
Tamasha Serengeti sasa kuwa leo