Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua sasa kuwa za wastani

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema mvua zitakazoendelea kunyesha kwa sasa ni za kiasi. Wakati TMA ikitoa taarifa hiyo jana, usafiri wa mabasi yaendayo mikoani kutoka jijini Dar es Salaam jana uliendelea kuwa mgumu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvua, upepo sasa vyaleta majanga

Nyumba zaidi ya 400 zaezuliwa, familia zakosa makazi huku tani 40.6 za chakula zikihitajika haraka huko Mwanga.

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA MABOGINI MKOANI KILIMANJARO WAANZA KUPATA ADHA YA MVUA ZINAZONYESHA SASA

Sehemu ya makazi ya watu yakiwa yameingiliwa na maji.

Wazazi walilazimika kufanya kazi ya kuwavusha wanafunzi.

Maji yakiingia katika maeneo ya makazi ya watu katika eneo la Mabogini.

Wazazi walilazimika kuacha shughuli zao na kwenda kuwachukua watoto wao wasije chukuliwa na maji.

Wanafunzi wakijaribu kuvuka maji wakati wakitoka shuleni.

Mama akimsadia mtoto wake kuvuka maji katika eneo la Mabogini .


Mifugo ikipita katika maji yaliyokuwa yakitokea katika mashamba ya TPC.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wastani wa Joto wapanda:Utafiti

Watalaam wa hali ya hewa wa marekani wamesema wastani wa joto la dunia la mwezi uliopita lilikuwa la kiwango cha juu.

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA ELIMU WAITAKA SERIKALI KUPANDISHA WASTANI WA UFAULU

Kaimu Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyuo na shule(TAMONGSCO) Taifa, Leonard Mao, akizungumza katika mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama hicho Kanda ya Mbeya uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Saut tawi la Mbeya.Mwenyekiti wa Kanda ya Mbeya wa Tamongsco, Mzee Asanga akitoa utambulisho katika mkutano huo.Wamiliki wa Shule na Vyuo, Wakuu wa Shule na Mameneja wakiwa kwenye mkutano mkuu wa Mwaka wa Tamongsco Kanda ya Mbeya.CHAMA cha wamiliki wa vyuo na shule zisizokuwa za Serikali(TAMONGSCO)...

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya Geita kupata wastani wa Dola za Marekani milioni 1.8 kutoka GGM

Na Greyson Mwase, Dar es Salaam
Halmashauri ya Geita  itaanza kupata  wastani wa  Dola za Marekani milioni 1.8 kwa mwaka  kutoka Mgodi wa  Dhahabu wa  Geita (GGM) baada ya kusainiwa rasmi kwa marekebisho ya mkataba  baina ya kampuni hiyo na Serikali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo  kabla ya kutiliana saini marekebisho ya mkataba huo  ambao uliosainiwa  awali mwaka 1999. Awali, Halmashauri hiyo ilikuwa ikipata  ushuru wa huduma wa  Dola za Marekani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani