Wastani wa Joto wapanda:Utafiti
Watalaam wa hali ya hewa wa marekani wamesema wastani wa joto la dunia la mwezi uliopita lilikuwa la kiwango cha juu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Apr
Mvua sasa kuwa za wastani
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema mvua zitakazoendelea kunyesha kwa sasa ni za kiasi. Wakati TMA ikitoa taarifa hiyo jana, usafiri wa mabasi yaendayo mikoani kutoka jijini Dar es Salaam jana uliendelea kuwa mgumu.
10 years ago
VijimamboWADAU WA ELIMU WAITAKA SERIKALI KUPANDISHA WASTANI WA UFAULU
10 years ago
MichuziHalmashauri ya Geita kupata wastani wa Dola za Marekani milioni 1.8 kutoka GGM
Halmashauri ya Geita itaanza kupata wastani wa Dola za Marekani milioni 1.8 kwa mwaka kutoka Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) baada ya kusainiwa rasmi kwa marekebisho ya mkataba baina ya kampuni hiyo na Serikali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kabla ya kutiliana saini marekebisho ya mkataba huo ambao uliosainiwa awali mwaka 1999. Awali, Halmashauri hiyo ilikuwa ikipata ushuru wa huduma wa Dola za Marekani...
9 years ago
Habarileo22 Dec
Ufaulu la 7 Dar wapanda
WAKATI ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba ukipanda kwa mkoa wa Dar es Salaam, imeelezwa kuwa wanafunzi 49,063 sawa na asilimia 83.17 ya waliofaulu mtihani wa darasa la saba mkoani humo wanatarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.
11 years ago
Habarileo22 Feb
Ufaulu kidato IV wapanda
UFAULU wa watahiniwa wa kidato cha nne mwaka jana umeongezeka kwa mujibu wa taarifa ya matokeo ya mitihani hiyo kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA).
9 years ago
Mwananchi12 Sep
Watuhumiwa wa Stakishari wapanda kizimbani
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Udhamini Ligi Kuu wapanda
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom, imeongeza udhamini wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa asilimia 40, kutoka shilingi bilioni 1.6 iliyopita hadi shilingi bilioni 2.3 kwa mwaka.
Vodacom ambao ni wadhamini wakuu wa ligi hiyo, jana imesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kuendelea kuusaidia mpira, mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 6.6.
Akizungumza jana katika hafla hiyo ya kusaini mkataba iliyofanyika Makao...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Wanamazingira wapanda miti UDOM
KLABU ya Wanamazingira wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Kitivo cha Elimu kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya wanafunzi, wamepanda miti ya kivuli katika kitivo hicho ambacho kinatumia umwagiliaji...