Halmashauri ya Geita kupata wastani wa Dola za Marekani milioni 1.8 kutoka GGM
Na Greyson Mwase, Dar es Salaam
Halmashauri ya Geita itaanza kupata wastani wa Dola za Marekani milioni 1.8 kwa mwaka kutoka Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) baada ya kusainiwa rasmi kwa marekebisho ya mkataba baina ya kampuni hiyo na Serikali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kabla ya kutiliana saini marekebisho ya mkataba huo ambao uliosainiwa awali mwaka 1999. Awali, Halmashauri hiyo ilikuwa ikipata ushuru wa huduma wa Dola za Marekani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Je watoto hawa wanawezaje kupata dola milioni moja kupitia mtandao?
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Kahawa ya 2014/15 yaingiza Dola 135 milioni za Marekani
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wC1_isMF9qg/U-zoF4SlYZI/AAAAAAAF_rc/yM8l0csfkf0/s72-c/blogger-image--1359849879.jpg)
Dola za Marekani milioni 53.8 zapatikana kutokana na mauzo ya vito
![](http://2.bp.blogspot.com/-wC1_isMF9qg/U-zoF4SlYZI/AAAAAAAF_rc/yM8l0csfkf0/s1600/blogger-image--1359849879.jpg)
Jumla ya Dola za Marekani milioni 53.8 zilipatikana kutokana na mauzo ya vito mbalimbali ndani ya nchi kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Uchambuzi na Uthamini wa Madini ya Almasi na Vito, (TANSORT) kilichopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Archard Kalugendo kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini inayoendelea Bagamoyo...
5 years ago
CCM BlogMAREKANI YATOA DOLA MILIONI 3.6 KUPAMBANA NA CORONA TANZANIA
Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni jambo...
5 years ago
MichuziSerikali ya Marekani yatoa Dola milioni 3.6 kupambana na Covid-19 Tanzania.
Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni...
9 years ago
MichuziTanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekani milioni 1,207,990
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/4q5rpFEVtGc/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Dec
Marekani yacharuka escrow;Tanzania yakosa mabilioni ya MCC, ni Dola 450 milioni