Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je watoto hawa wanawezaje kupata dola milioni moja kupitia mtandao?

Watoto wenye ushawishi kwa watoto wenzao walifanya jaribio la mamlaka waliyonayo katika onyesho la mwaka la New York la wanasesere.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Ykileo

MAMILIONI YA DOLA YAIBIWA KATIKA MABENKI KUPITIA WIZI MTANDAO

Baada ya kikao kilichofanyika wiki iliyopita chuo kikuu cha Stafford ambapo Rais Obama wa marekani alikutana na wafanya biashara, Wanasheria na wasimamizi washeria kujadili hali ya mtikisiko wa maswala ya usalama mitandao, Inadhihirisha wazi bado kuna safari ndefu kukabiliana na wimbi hili la uhalifu mtandao duniani kote.


Hii ni kutokana na ukweli kwamba Tishio la uhalifu mtandao na utayari wa kukabiliana nao bado kuna kutowiana ipasavyo ingawa jitihada bado ni kubwa kuweza kukabiliana na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mashabiki wa bendi ya BTS wachangisha dola milioni moja.

Mashabiki wa bendi ya mziki ya BTS wanaojiita 'Army' wamechangisha dola milioni moja kwa harakati ya 'Black Lives Matter'.

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya Geita kupata wastani wa Dola za Marekani milioni 1.8 kutoka GGM

Na Greyson Mwase, Dar es Salaam
Halmashauri ya Geita  itaanza kupata  wastani wa  Dola za Marekani milioni 1.8 kwa mwaka  kutoka Mgodi wa  Dhahabu wa  Geita (GGM) baada ya kusainiwa rasmi kwa marekebisho ya mkataba  baina ya kampuni hiyo na Serikali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo  kabla ya kutiliana saini marekebisho ya mkataba huo  ambao uliosainiwa  awali mwaka 1999. Awali, Halmashauri hiyo ilikuwa ikipata  ushuru wa huduma wa  Dola za Marekani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuwekeza dola milioni 120 katika mtandao wake 2015

DSC01093

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Cecile Tiano akiongea na waandishi wa habari kuhusu kampuni yake itakavyowekeza mwaka huu, Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha.

DSC01095

Tigo Tanzania imepanga kutumia kiasi cha dola milioni 120 (Shilingi bilioni 221) mwaka huu kwa ajili ya upanuzi wa mtandao wake utakao ongeza ufanisi wa huduma zake nchini.

Akizungumza mipango hiyo ya kampuni kwa mwaka 2015, Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Bi.Cecile Tiano alisema kwamba uwekezaji wa mwaka huu ni ishara...

 

10 years ago

Vijimambo

Watanzania Waishio Nje ya Nchi sasa Kupata Filamu za Kitanzania Kupitia Mtandao


Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akisoma hotuba fupi mbele za waandishi wa habari na wageni waalikwa waliohudhuria hafla fupi ya Uzinduzi wa Mpango wa Kuuza Filamu za Proin Mtandaoni.Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza akisoma hotuba fupi kwa Mgeni rasmi ambae pia Ni Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh Dkt Fenella Mukangara wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa kuuza filamu za Proin mtandaoni. Muigizaji Emmanuel...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI SASA KUPATA FILAMU ZA KITANZANIA KUPITIA MTANDAO‏


Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akisoma hotuba fupi mbele za waandishi wa habari na wageni waalikwa waliohudhuria hafla fupi ya Uzinduzi wa Mpango wa Kuuza Filamu za Proin Mtandaoni.
Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza akisoma hotuba fupi kwa Mgeni rasmi ambae pia Ni Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh Dkt Fenella Mukangara wakati wa… ...

 

9 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI

 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akizungumza juu ya Upungufu wa vitamini na Baadhi ya Madini muhimu kama Vitamini A, folate, Madini chuma Zinki na madini joto ni chazo cha vifo kwa Watoto chini ya miaka Mitano na chanzo kikubwa cha maradhi mbalimbali kote Duniani, kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Alliance for Iproved Nutrition (GAIN) ,Marc van Amerngen katika mkutano uliofanyika  leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yafikia wafuasi Milioni Moja katika mtandao wa Facebook

Kampuni ya Tigo Tanzania hivi karibunii metangaza kufikisha wafuasi milioni moja katika mtandao wao wa Facebook. Katika ukarasa wake wa Facebook, www.facebook.com/TigoTanzania kampunii lifikisha mfuasi wa milioni moja Jumapili Desemba 27 mwaka huu hapa Tanzania.

Kutokana na ongezeko la matumizi ya mtandao wa kijamii wa Facebook hapa nchini, Facebook imekuwa mstari wa mbele katika matumizi kutokana uzinduzi wa Facebook katika lugha ya Kiswahili uliofanyika mwaka wa 2014 kwa ushirikiano wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto milioni moja kupewa chanjo Mara

ZAIDI ya watoto milioni 1.8 wanatarajiwa kupatiwa chanjo, ikiwemo ya surua na rubella, matone ya vitamini A na dawa za minyoo katika Mkoa wa Mara katika kampeni iliyoanza Oktoba 18...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani