Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sunday Oliseh kuinoa Super Eagles

Timu ya Taifa ya Nigeria Super Eagles imempa kibarua cha ukocha kiungo na nahodha wake wa zamani Sunday Oliseh

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Sunday Oliseh atoka kapa kwa Mkwasa

Sunday-OlisehNA BADI MCHOLO, DAR ES SALAAM

KOCHA wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, anawaumiza vichwa wapinzani wake, timu ya Nigeria ‘Super Eagles’ baada ya kupata ugumu wa kushindwa kuelewa falsafa ya kocha huyo mzawa, badala yake wamebaki kutumia muda mwingi kuangalia video za michezo ya zamani.

Kocha wa Nigeria, Sunday Oliseh, licha ya kuwa katika nafasi nzuri ya pili katika kundi G linaloundwa na timu za Misri, Chad na Taifa Stars, amekuwa akikesha kuangalia video za Stars na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sunday Oliseh ndiye kocha mpya wa Nigeria

Nigeria imemchagua aliyekuwa mchezaji wa Nigeria Sunday Oliseh kama kocha mpya wa Nigeria.

 

9 years ago

TheCitizen

Super Eagles snub Dar for Pretoria

 Bronze medallists at the 2014 African Championship of Nations (Chan) Nigeria have opted to pitch a camp in Pretoria, South Africa and not Tanzania as they had earlier planned.

 

9 years ago

GPL

MUDA UMEWADIA, TAIFA STARS Vs SUPER EAGLES

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kikosi cha timu ya Nigeria, Super Eagles. Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, muda huu zimeshuka uwanjani kumenyana vikali kuwania  kufuzu Kombe la Afrika 2017 Gabon. Mechi hiyo inafanyka katika uwanja wa Taifa jijini Dar. PICHA: MAKTABA NA…

 

9 years ago

Michuzi

KUZIONA STARS, SUPER EAGLES SHS 7000/=

Maandalizi ya mchezo kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Nigeria (Super Eagles) yamekamilika, ambapo leo Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo wa jumamosi kati huku kiingilio cha chini kabisa kikiwa shilingi elfu saba tu.Viingilio vya mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON Qaulifier 2017) kundi G itakua ni VIP A Tsh 40,000, VIP B Tsh 30,000, VIP C Tsh15,000, Rangi ya Machungwa (Orange) Tsh 10,000, na viti vya rangi ya...

 

9 years ago

TheCitizen

Super Eagles set to arrive in Dar tomorrow

Oliseh expressed optimism to start on a good note

 

9 years ago

BBCSwahili

Nyota mwingine wa Nigeria ajitoa Super Eagles

Nyota wa timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles Emmanuel Emenike ametangaza kwamba amestaafu kutoka kwa timu hiyo ya taifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Stars inaweza kuishinda Super Eagles tuiunge mkono

Mwishoni mwa wiki hii, timu yetu ya Taifa, Taifa Stars itaikabili timu ngumu ya Super Eagles kutoka Nigeria katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2017.

 

5 years ago

Goal.Com

Super Eagles coach Rohr waiting on NFF for new contract

Super Eagles coach Rohr waiting on NFF for new contract  Goal.comView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani