Sunday Oliseh ndiye kocha mpya wa Nigeria
Nigeria imemchagua aliyekuwa mchezaji wa Nigeria Sunday Oliseh kama kocha mpya wa Nigeria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
Oliseh kuwa kocha wa Nigeria ?
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Sunday Oliseh kuinoa Super Eagles
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Pulis ndiye kocha mpya wa Westbromwich
10 years ago
Mtanzania04 Sep
Sunday Oliseh atoka kapa kwa Mkwasa
NA BADI MCHOLO, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, anawaumiza vichwa wapinzani wake, timu ya Nigeria ‘Super Eagles’ baada ya kupata ugumu wa kushindwa kuelewa falsafa ya kocha huyo mzawa, badala yake wamebaki kutumia muda mwingi kuangalia video za michezo ya zamani.
Kocha wa Nigeria, Sunday Oliseh, licha ya kuwa katika nafasi nzuri ya pili katika kundi G linaloundwa na timu za Misri, Chad na Taifa Stars, amekuwa akikesha kuangalia video za Stars na...
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Jenerali Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Muhammad Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria
10 years ago
Dewji Blog31 Mar
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: Muhammad Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria
Pichani ni Jenerali Muhammadu Buhari akiwa katika wakati wa kampeni muda mfupi kabla ya kupiga kura.
Kiongozi wa wa chama cha upinzani cha Nigeria jenerali Muhammadu Buhari ameshinda kura za urais na kumuondoa rais aliyeko Goodluck Jonathan mamlakani.
Tayari rais anayeondoka madarakani Goodluck Jonathan amekwisha mpigia simu mpinzani wake Jenerali Buhari na kumpongeza kwa ushindi huo wa kihistoria.
Hii ndiyo mara kwanza katika historia ya taifa hilo kwa rais wa nchi hiyo kung’olewa...
10 years ago
BBC
Oliseh appointed as Nigeria coach
10 years ago
Habarileo07 Sep
Oliseh aahidi kuiimarisha Nigeria
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, amesema alikuwa na siku mbili tu za timu yake kufanya mazoezi pamoja, lakini ameridhishwa na jinsi wachezaji wake walivyocheza ingawa safu yake ya ushambuliaji ilikuwa butu, ambapo ameahidi kufanyia kazi makosa yaliyojitokeza.