Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUNDERLAND AFC NA SYMBION POWER WASHEREHEKEA UIDHINISHAJI WA UJENZI WA UWANJA MPYA WA MICHEZO YA UMMA JIJINI DAR-ES-SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wageni waalikwa, wafanyakazi mbalimbali wa Kampuni ya Symbion pamoja na wananchi wakati wa hafla ya kutoa Kibali chake kwa Chuo cha Michezo cha Sunderland kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Umma uliopewa jina la Rais Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park. Tukio hilo limefanyika leo 1 Novemba, 2014 eneo la Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi akitoa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AKAGUA MIRADI YA NYUMBA ZA TBA KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akipiga makofi mara baada ya kufungua nyumba za makazi ya Watumishi wa Umma zilizoko Mbezi Beach (E-NMC) jijini Dar es Salaam. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akifatiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Arch. Elius Mwakalinga.Nyumba ya Makazi ya Watumishi wa Umma ilioko Mbezi Beach (E-NMC) jijini Dar es Salaam kama linavyoonekana.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akitoka kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM

  DAR ES SALAAM, Tanzania. Tarehe 21 Septemba 2015 -- Symbion Power yenye tawi lake maeneo ya Ubungo leo imetangaza kuwa imefanikiwa katika majaribio ya kutumia gesi asilia katika mitambo yake . Gesi inapatikana  Ghuba ya  Mnazi iliyo karibu na Mtwara Kusini mwa Tanzania. 
Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania


“Kwa mara nyingine Symbion...

 

10 years ago

Michuzi

klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam

Umoja wa klabu za michezo za maveterani Dar es salaam,  chini ya uratibu wa klabu za Singasinga na Tazara,  unatangaza rasmi kwamba  shughuli ya kurehemu wanachama wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki itafanyika JUMATATU 12/1/2015, ikiwa pia ni  sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi.
Ratiba itaanza  Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika  kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...

 

10 years ago

Vijimambo

TWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges(suti ya bluu) akikabidhi mfano wa hundi yenye kiasi cha Tsh. Millioni Miamoja kwa Uongozi wa Jeshi la Magereza zitakazotumika katika ujenzi wa nyumba zenye hadhi kwa Maofisa na Askari wa Gereza Wazo,Wilayani Kinondoni (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja. hafla hiyo imefanyika leo Novemba 17, 2014...

 

11 years ago

Michuzi

Sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam



Kwa video hii na nyingine kibao za sherehe za Mei Mosi 
BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Shamba la Bibi na Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam toka angani

Uwanja wa Uhuru Maarufu kama "Shamba la Bibi" ukiwa kushoto mwa Uwanja Mkuu wa Taifa ambao bado haujapewa jina rasmi unavyoonekana leo baada ya kuwekwa paa upande wa "Urusi".Haijajulikana bado lini utaanza kutumika na kuupumzisha Uwanja wa Taifa ambao ndilo kimbilio la shughuli karibu zote za michezo  na za jamii.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA SHEREHE YA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Maandamano ya wafanyakazi yakiingia Uwanja wa Uhuru na kupokelewa na Rais Kikwete  Wafanyakazi wa Daily News na Habari Leo  Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa Uhuru.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani