SUNGUSUNGU WA MANISPAA YA SHINYANGA WAPEWA PIKIPIKI KUKABILIANA NA MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE
Katika kukabiliana na vitendo vya mauaji ya vikongwe na watu wenye ulemavu wa ngozi (albino),leo jeshi la jadi sungusungu katika halmashauri ya manispaa ya Shinyanga limekabidhiwa pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni moja, laki 6 na elfu 50 kwa ajili ya kuhimarisha ulinzi na usalama kwenye maeneo yao.
Zoezi la makabidhiano limefanyika katika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Shinyanga mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eqomeZz07-M/VT-Dx2jKGrI/AAAAAAAHTy8/533fEFnR1pI/s72-c/PIX%2B1.jpg)
UWAWATA WAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE RIPOTI INAYOPINGA UPIGAJI WA RAMLI NA MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-eqomeZz07-M/VT-Dx2jKGrI/AAAAAAAHTy8/533fEFnR1pI/s1600/PIX%2B1.jpg)
5 years ago
MichuziSHUWASA YATOA MSAADA WA NDOO 15 ZENYE UJAZO WA LITA 45 KUKABILIANA NA CORONA KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA
Mkurugenzi wa SHUWASA Bi. Flaviana Kifizi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (kushoto) ndoo 15 zenye ujazo wa lita 45 kila moja kwa ajili ya kunawia mikono katika maeneo ya huduma za kijamii ili kukabiliana maambukizi ya Virusi vya Corona (Covid -19)
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imetoa msaada wa ndoo 15 zenye ujazo wa lita 45 kwa ajili ya kutumika kunawia mikono katika maeneo ya...
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Mauaji ya vikongwe yatakoma Tanzania?
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Mauaji ya vikongwe yamuumiza Liana
MAUAJI ya vikongwe wilayani Magu, Mwanza yametajwa kuwa chanzo cha jamii kuishi kwa hofu ya usalama wa maisha yao jambo linalosononesha. Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana, aliyasema hayo...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Polisi wajipanga kukomesha mauaji ya vikongwe
JESHI la Polisi nchini lipo katika hatua za mwisho kukamilisha mikakati ya kuanzisha mradi wa Vikongwe na Makazi salama ili kuwanusuru wazee wanaouawa kutokana na imani potofu za kishirikina. Akizungumza...
11 years ago
Mwananchi05 May
Mauaji ya vikongwe yazidi kutikisha Bukombe
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Mamaja wataka mauaji ya vikongwe yatokomezwe Geita
KIKUNDI cha mahusiano na mawasiliano ya jamii (Mamaja Group), cha mjini hapa kimeitaka jamii kutoa ushirikiano wa kutokomeza kabisa mauaji ya vikongwe yanayosababishwa na imani za kishirikina, urithi na migogoro...
10 years ago
StarTV04 Mar
Polisi Dodoma yashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya vikongwe.
Na Joyce Mwakalinga,
Dodoma.
Watu wanne akiwemo Mweyekiti wa Kijiji cha Ihanda tarafa ya Mlali wilayani Kongwa mkoani Dodoma wanashikiliwa na Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kushiriki katika mauaji ya vikongwe kwa imani za kishirikina.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime, vikongwe watatu waliuawa Machi Mosi mwaka huu kwa madai ya kushiriki kuzuia mvua isinyeshe kijijini hapo kwa njia za kishirikina.
Vikongwe hao ni pamoja...