Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauaji ya vikongwe yatakoma Tanzania?

Makala za uchaguzi Tanzania inaangazia mauaji ya vikongwe kaskazini magharibi mwa Tanzania,Shinyanga

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya vikongwe yamuumiza Liana

MAUAJI ya vikongwe wilayani Magu, Mwanza yametajwa kuwa chanzo cha jamii kuishi kwa hofu ya usalama wa maisha yao jambo linalosononesha. Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana, aliyasema hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wajipanga kukomesha mauaji ya vikongwe

JESHI la Polisi nchini lipo katika hatua za mwisho kukamilisha mikakati ya kuanzisha mradi wa Vikongwe na Makazi salama ili kuwanusuru wazee wanaouawa kutokana na imani potofu za kishirikina. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji ya vikongwe yazidi kutikisha Bukombe

Wakazi wawili wa Kijiji cha Iyogelo, Kata ya Lulembela, wilayani Mbogwe, mkoani Geita, Mariamu Mulahi (70) na Helena Mulekwa (42) wameuawa kwa kukatwa mapanga.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mamaja wataka mauaji ya vikongwe yatokomezwe Geita

KIKUNDI cha mahusiano na mawasiliano ya jamii (Mamaja Group), cha mjini hapa kimeitaka jamii kutoa ushirikiano wa kutokomeza kabisa mauaji ya vikongwe yanayosababishwa na imani za kishirikina, urithi na migogoro...

 

10 years ago

Michuzi

SUNGUSUNGU WA MANISPAA YA SHINYANGA WAPEWA PIKIPIKI KUKABILIANA NA MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE

Katika kukabiliana na vitendo vya mauaji ya vikongwe na watu wenye ulemavu wa ngozi (albino),leo jeshi la jadi sungusungu katika halmashauri ya manispaa ya Shinyanga limekabidhiwa pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni moja, laki 6 na elfu 50 kwa ajili ya kuhimarisha ulinzi na usalama kwenye maeneo yao.
Zoezi la makabidhiano limefanyika katika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Shinyanga mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ...

 

10 years ago

StarTV

Polisi Dodoma yashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya vikongwe.

Na Joyce Mwakalinga,

Dodoma.

 

Watu wanne akiwemo Mweyekiti wa Kijiji cha Ihanda tarafa ya Mlali wilayani Kongwa mkoani Dodoma wanashikiliwa na Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kushiriki katika mauaji ya vikongwe kwa imani za kishirikina.

 

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime, vikongwe watatu waliuawa Machi Mosi mwaka huu kwa madai ya kushiriki kuzuia mvua isinyeshe kijijini hapo kwa njia za kishirikina.

 

Vikongwe hao ni pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

UWAWATA WAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE RIPOTI INAYOPINGA UPIGAJI WA RAMLI NA MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE NCHINI

 Mratibu Mkuu wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania (Uwawata), Julius Juju (wapili kulia) akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, ripoti inayopinga upigaji wa ramli na mauaji ya albino na vikongwe nchini. Ripoti hiyo iliyoandaliwa na zaidi ya Wajumbe 200 wa Uwawata baada ya kufanya utafiti ya mauaji ya albino katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na kufanya semina ya hitimisho jijini Mwanza kwa kutoa maazimio ya kupinga mauaji hayo. Kulia ni Mkaguzi wa Waganga...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapigano yatakoma Mashariki mwa Ukraine?

Ujerumani,Urusi na Ukraine zimejadili kwa simu zikiwa ni jitihada za kuhakikisha makubaliano ya kukomesha mapigano yanafanikiwa

 

10 years ago

Habarileo

Vikongwe wanaswa na magobole

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariJESHI la Polisi mkoani Katavi linawashikilia watu tisa wakiwemo vikongwe wa miaka 80 na 70 baada ya kukamatwa wakiwa na bunduki tatu za kienyeji aina magobole, risasi zake 15, mtambo wa kutengenezea silaha, baruti na sare za Jeshi la Wananchi la Ulinzi na Usalama (JWTZ).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani