SUPER D AMPIGA TAFU YA VIFAA BONDIA MUSSA CHITEPETE WA SONGEA VIFAA
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa mchezo wa masumbwi nchini,Rajabu Mhamila 'Super D' kwa kushirikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wa kijamii wa whatsapp wamemkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumwi nchini
vifaa hivyo vilivyotolewa na super D kwa kushilikiana na mdau mkubwa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mkumba ambaye ndie muhamasishaji mkubwa katika mtandao huo kwa ajili ya kusaidia mabondia
baada ya kukabidhiwa msaada huo bondia Mussa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Dec
KOCHA SUPER D AMPIGA TAFU YA VIFAA BONDIA MUSSA CHITEPETE WA SONGEA VIFAA
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wa...
10 years ago
Michuzi04 Mar
BONDIA OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU YA VIFAA KOCHA SUPER D
Mwanasoka wa kike, Melanie Gines (kushoto) ambaye ni raia wa Hispania na bondia Omari Kimweri na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakiwa tayari kupanda ndege na kurudi kwao
10 years ago
Michuzi22 Dec
BONDIA TWAHA KASSIM WA MOROGORO AMTWANGA KWA KO MUSSA CHITEPETE WA SONGEA
10 years ago
Vijimambo16 Feb
OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU VIFAA KOCHA KINYOGOLI
10 years ago
VijimamboSUPER D AZAWADIA BONDIA LULU KAYAGE VIFAA
10 years ago
Vijimambo10 Mar
KOCHA SUPER D AMZAWADIA BONDIA 'KING CLASS MAWE' VIFAA VYA MASUMBWI
11 years ago
Tanzania Daima01 May
AFC yapigwa tafu vifaa
TIMU ya AFC ya Arusha imepokea msaada wa vifaa vya michezo zikiwemo jezi, mipira na viatu vyote vikiwa na thamani ya sh milioni 2.5 kutoka Kampuni ya Tanzanite Forever ikiwa...